2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Wakuu hivi yule dogo alidaka game ya morocco na Tz iliyopita jau sana au ndo manula kwanza?
Manula kafanya kosa gani hapo? Yani hiyo game ambayo hatuwezi kupiga pasi hata mbili kwenda mbele, kiungo hakitembei, beki Mwamnyeto anageuzwa kama chapati, wewe unamuona Manula tu?

Hapo hata adake kipa wa dunia, hazipungui goli 3.
 
Sio kama kafanya makosa mimi nimeulizia yule dogo vipi, kukusanya maoni ya wadau juu ya kiwango chake
 
Manula kafanya kosa gani hapo? Yani hiyo game ambayo hatuwezi kupiga pasi hata mbili kwenda mbele, kiungo hakitembei, beki Mwamnyeto anageuzwa kama chapati, wewe unamuona Manula tu?

Hapo hata adake kipa wa dunia, hazipungui goli 3.
Jiandae 2-0
 
Back
Top Bottom