kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Nawapa Burkina Faso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapa Burkina Faso
mwaka juzi walitoka mapema sana natumaini msimu huu hawatakubari kutoka mapema Tena
Huyu Abdel moneim msimu huu inabidi ndio uwe msimu wake wa mwisho kucheza mpira Ndani ya bara la Africa
Nini hasa kimekupa hamasa ya kuwapa nafasi?Nampa mali ubingwa
Yah japo na ile golden generation inaelekea mwishomwaka juzi walitoka mapema sana natumaini msimu huu hawatakubari kutoka mapema Tena
Zipi sababu hasa?Nawapa Burkina Faso
Muda mzuri huo...Michuano ya AFCON inaanza leo kwa sherehe kisha mchezo wa ufunguzi. Kama ilivyoada mwenyeji atafungua michuano hiyo. Mechi ni moja tu leo.
Ivory Coast Vs Guinea Bissau
Saa 5:00 Usiku
View attachment 2870319
Kikosi cha Zambia kinachoelekea ZambiaView attachment 2860601