Ilebayee
Senior Member
- Aug 3, 2020
- 129
- 678
Hawa wanachoweza nikupeleka Israel ICJ tu ila sio kupeleka mpira wavuni
[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanachoweza nikupeleka Israel ICJ tu ila sio kupeleka mpira wavuni
Shida yao wanapo Buildup wanapoteza na walikuwa wanakoswa sana. Hata hapo walikuwa wanafanya buildup mpira ukadakwa ndio maana unaona goli la kushtukiza.huyu beki wa South alitaka kupimana ubavu na jamaa…kosa
Sisi tunaocheza pool [emoji463] ukimkosa mtu Brash ujue unafungwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Percy Tau ataiota hii mechi
Sub ya kumtoa Vyes BiousummaSA Kipindi iki cha pili wamepoteana sana Mali wanashambulia hatar
mtu kakaa anawasifia hoo wote wanacheza ligi ya South mara sjui vipaji wakati jamaa wanaruka ruka tuUfala wa South na asa asa Tau ndo umeharibu dynamics nzima za hii game baada ya kukosa nafas zote zile.. Ujinga wao ngj walambwe hata 3 mtungi itakua safi wakajutie mbele.
Game laini sana kwa mali kwa sabab SA wameshapoteana hawamo ten mchezoniGame ngumu
wenzetu wanapiga boli wala hakuna kelele za machawa
Kona, wajitahidi.Game imechangamka na wasipo angalia wanaweza pigwa chuma cha tatu
mtu kakaa anawasifia hoo wote wanacheza ligi ya South mara sjui vipaji wakati jamaa wanaruka ruka tu
Kocha wa mali amefanya vzr sanSub ya kumtoa Vyes Biousumma
Wanaweza kusawazisha.Game laini sana kwa mali kwa sabab SA wameshapoteana hawamo ten mchezoni