Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unanuna!😡😡😡😡🇹🇿
Sasa mlienda kufanya nn bora mngebak homeunanuna!
usisahau sisi tupo kwajili ya uzoefu[emoji23]
Usilale kuwa mzalendo.Ovyo kabsaaa naenda kulala
Tuache siasaKila siku sisi ni wakufungwa tuu
HAkika mnyonge leo anacheza hata commentetaz wanatupiga majungu katikati ya mechiMnyonge anacheza kesho saa mbili mkuu🤣🤣
Mlevi mmoja hapa kijiweni ndo anatupanga hivo
KipigoMambo gani haya