Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana. ImechangamkaHii game nzr.
kwa zambia taifa stars itakoga goli 4 na kwa congo dr walio vizuri kiufundi kama ninavyowafuatilia na kuwasikia taifa stars inaweza hata kufungwa nao kuanzia goli 5 au hata goli 6 kama tukiingia katika mfumo waoHao jamaa wametuzid sana kwakweer
Congo 1-1 ZambNgapi ngapi?
Naunga mkono hojaTz bado tupo mbali kufikia hii kasi na nguvu ya soccer la kisasa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitashukuru hili swali langu nikijibiwa na akina baba levo, mwijaku, bongo zozo, joti, wasioujua vyema mpira na team samia 2025
Homeboy huyo ana balaa sanaGael Kakuta anaringia kipaji na uzoefu wake.