Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Diara ni onana wa utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haipogo hioDiara kashashonwa
mim nashindwaga kuelewa kwanin hii michuano inachezwa january yani ligi zinaendelea huko unaanza kuwakatisha wachezaji mfano mo salah timu inamuhitaji kweli kweli ila leo yupo AfricaHaya mashindano yangekuwa matamu zaidi yangekuwa yanafanyika june baada ya ligi kubwa kumalizika
Big names huwa hawajitoi sana kwa kuhofia kuumia na kuziingiza team zao kwenye hasara
Wanaojituma ni wale ambao bado wanatafuta malisho mazuri
Mchezaji hawezi ku risk mshahara wa tsh milion mia mbili kwa wiki ajitoe team ya Taifa kwa kiwango kilekile (wachache sana)
The great Sir Alex hakuwa anapenda wachezaji wa Africa kwa upuuzi huumim nashindwaga kuelewa kwanin hii michuano inachezwa january yani ligi zinaendelea huko unaanza kuwakatisha wachezaji mfano mo salah timu inamuhitaji kweli kweli ila leo yupo Africa
🤣🤣🤣 ndugu zake Bar-sheHawa waarabu wa nzega Tunisia Algeria wote matapeli tu Bora watoke tu
Hawa waarabu wa nzega Tunisia Algeria wote matapeli tu Bora watoke tu
warabu wa zega wamefubaa emu waheshimu Tunisia Muarabu anakula maboga huyo naye ni muarabu kweliHawa waarabu wa nzega Tunisia Algeria wote matapeli tu Bora watoke tu
mim nashindwaga kuelewa kwanin hii michuano inachezwa january yani ligi zinaendelea huko unaanza kuwakatisha wachezaji mfano mo salah timu inamuhitaji kweli kweli ila leo yupo Africa
Kombe la dunia hua wanafanya nini hao wachezaji wakubwa, si ligi dunia nzima inakuwa imesimama. Yaani unaona ni sahihi dunia nzima tukae kwenye mfumo wa mzungu?Haya mashindano yangekuwa matamu zaidi yangekuwa yanafanyika june baada ya ligi kubwa kumalizika
Big names huwa hawajitoi sana kwa kuhofia kuumia na kuziingiza team zao kwenye hasara
Wanaojituma ni wale ambao bado wanatafuta malisho mazuri
Mchezaji hawezi ku risk mshahara wa tsh milion mia mbili kwa wiki ajitoe team ya Taifa kwa kiwango kilekile (wachache sana)
Kabla ya Motsepe alikuwepo Ahmad AhmadNi vigumu kuelewa
Pale Caf alikuwepo dicteta issa hayatou amekalia kiti karibu miaka 30 akiungwa mkono na mafarao na nchi za kaskazini na africa magharibi kwa uchache
Yule Mzee amechangia kulidumaza soka la Afrca
Alikuwa dikteta alafu ni mchawi ukitaka kugombea nafasi yake anakutupia busha
Mpaka leo sijawahi kuelewa ni vipi motsepe aliweza kushinda yule dikteta
Huyu kipa wa Tunisia nafikiri alishawahi kucheza judo au karate
Kombe la dunia hua wanafanya nini hao wachezaji wakubwa, si ligi dunia nzima inakuwa imesimama. Yaani unaona ni sahihi dunia nzima tukae kwenye mfumo wa mzungu?