2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Haya mashindano yangekuwa matamu zaidi yangekuwa yanafanyika june baada ya ligi kubwa kumalizika

Big names huwa hawajitoi sana kwa kuhofia kuumia na kuziingiza team zao kwenye hasara

Wanaojituma ni wale ambao bado wanatafuta malisho mazuri

Mchezaji hawezi ku risk mshahara wa tsh milion mia mbili kwa wiki ajitoe team ya Taifa kwa kiwango kilekile (wachache sana)
 
mim nashindwaga kuelewa kwanin hii michuano inachezwa january yani ligi zinaendelea huko unaanza kuwakatisha wachezaji mfano mo salah timu inamuhitaji kweli kweli ila leo yupo Africa
 
Ni vigumu kuelewa

Pale Caf alikuwepo dicteta issa hayatou amekalia kiti karibu miaka 30 akiungwa mkono na mafarao na nchi za kaskazini na africa magharibi kwa uchache

Yule Mzee amechangia kulidumaza soka la Afrca

Alikuwa dikteta alafu ni mchawi ukitaka kugombea nafasi yake anakutupia busha

Mpaka leo sijawahi kuelewa ni vipi motsepe aliweza kushinda yule dikteta

Kombe la dunia hua wanafanya nini hao wachezaji wakubwa, si ligi dunia nzima inakuwa imesimama. Yaani unaona ni sahihi dunia nzima tukae kwenye mfumo wa mzungu?
 
Kabla ya Motsepe alikuwepo Ahmad Ahmad
 
Kinachoitesa africa kombe la dunia ni ile kukosa contractions kwa kila sekunde uwanjani
Pia uwezo wa kuvumilia mateso uwanjani/kutimiza majukumu kwa kila action kwa dkk 120

Pia kujiona duni mbele ya whites

Kitu kizuri sio vibaya kuigwa

Back
Top Bottom