United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Ndugu yangu Mpira una Mambo Mengi sanaSenegalaise a.k.a Les lions de la teranga ndiyo watakuwa mabingwa wa mashindano ya AFCON 2024
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu Mpira una Mambo Mengi sanaSenegalaise a.k.a Les lions de la teranga ndiyo watakuwa mabingwa wa mashindano ya AFCON 2024
Ngoja tubadiri channelGame ya cabo verde na Egypt ni kali kweli kweli.
Vijamaa vinakbinza mpira hatar. Farao anaisoma namba.Ngoja tubadiri channel
Ni kweli kabisa lakini hawa Simba wa teranga wamejipanga vyemaNdugu yangu Mpira una Mambo Mengi sana
Refa kagoma hata yy mwnyw kwnd kujiridhisha kbs.Penati ya mchongo
kweli bwana game tamu sana hiiGame ya cabo verde na Egypt ni kali kweli kweli.
Egpty amefungua balaakweli bwana game tamu sana hii
sjui washapewa tarifa Ghana anaongozaVijamaa vinakbinza mpira hatar. Farao anaisoma namba.
Na ungekosa kweli afu ni bonge la MechiAsante nimesachi kote hadi nimeikuta huko 225 lol yani mpaka saa 5 hii niliisubiria hii mechi ningekua nishasinzia 222 , 290, 295 , 376 kote wanaonesha ya Ghana na Mozambique asavali hapa wanaonesha hii[emoji144]
cc Smart911
Yaniii nilivoweka hizo naona zote wanaonesha ile nyingine nikasema hebu nijaribu chaneli nyingine nikawa nabofya kitufe cha Chaneli + ..225 nikaona imoo uwiiii nikafurahi make ningeenda kulala asee mechi imechangamka yamoto balaaaaNa ungekosa kweli afu ni bonge la Mechi
Wanamtegemea Kudus afanye maajabGhana hawana timu...wakatafute timu