Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Soka la Africa limebadilika Magiant wanaliwa vichwa tu kila kukicha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hata Mechi za Afcon hazijaanza Page ya Kwanza ya huu Uzi nilisema hili, Nawakumbusha Tu.Tanzania tunamaliza na point 2, Bingwa atakuwa Egypt,
Ninazitafakari hizi team nakosa majibu... Wanajituma...wazalendo..wana akili..Hawa waangola wana balaa naona hizi timu za kireno Zina balaa sana wako wa 3 sasa Cabo Verde , guinea ikweta na Angola ni timu zenye balaa sana
Nadhani hii Guinea Ikweta ilitawaliwa na Uhispania sio Ureno..!!Hawa waangola wana balaa naona hizi timu za kireno Zina balaa sana wako wa 3 sasa Cabo Verde , guinea ikweta na Angola ni timu zenye balaa sana
uo ni unafikiNinazitafakari hizi team nakosa majibu... Wanajituma...wazalendo..wana akili..
Tujifunze
Andika wewe ukweli mkuu..uo ni unafiki
Kabeesa asavali njaanuari imeenda rafiki.
Na akapigwaa za uso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stephanieeeeeeeeeeeeee
Aziz
Kiiiiiiiiii
Walisikia kilio chetu wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Game ya saizi Nasimama na Angola, hawa vijana wa Angola hawajui tu ushindi wao una umuhimu gani huku Ardhi ya Tanzania.
Angola Mtusaidie kuzima kelele zinazotarajiwa kuibuka nawaombeni.
Diarra bado wanabaki sababu wana pointi 4.Aziz K, bado.
atabaki.
mtakaye mkosa ni Diarra
Unasemaaaaa?? Ongeza sauti sikusikiiiiBurkinabe lazima amuadabishe mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mtangangaji wa TBC haipit sekunde anamtataja AZIZ Kiiii hata asipogusa mpira aya Mahaba Kiboko
PoleeeeKumekucha [emoji23][emoji1787][emoji16]
Kwa mchezaji gani? Ufunguo wa kidimbwiii?Bukina wanashinda hii game
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huyu Aziz anacheza timu gani? Mbona anapiga mipass kama ya Iniesta au Yaya Toure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Piga algeria , piga burkina-yanga pigaaa hao yani piga
Waarabi mwaka huu hawpo seriously kabisaa yani wanacheza Ili mradi mashindano yapite..