Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakamilisha ratibaKizimkazi Stars View attachment 2881897
Nyarabu mbili zimesepeshwaMwarabu wa pili out
Algeria &Tunisia Mpfyuuuuuuuuuuuu zenu
Wameamua kuwekeza watu wakipata HD iwe HD kwl sio HD bado unaona vumbi.dstv camera wanazotumia aisee
NamibiaBest Losers, Namibia, Mauritania, nani wengine wawili?
Afu kuna kenge anakwambia AZAM.Ni bora kuliko DSTV iyo HD ya DSTV connect na 4K ya Hisense,Tcl au Sony balaa lake sio la Nchi hiiiWameamua kuwekeza watu wakipata HD iwe HD kwl sio HD bado unaona vumbi.
Na ni vizuri akatokaMbona underdog wenye point nne ni wengi, huyu ivory coast anapitaje kwa mfano?
Muda wa kupata presha umekaribia, Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿Kizimkazi Stars View attachment 2881897
Huyo atakua hana akil timamu.Afu kuna kenge anakwambia AZAM.Ni bora kuliko DSTV iyo HD ya DSTV connect na 4K ya Hisense,Tcl au Sony balaa lake sio la Nchi hiii
Namibia amefuzu tayari kwa tiketi ya best loser hakuna anachosubiriTunisia bye bye !! [emoji135][emoji135][emoji135][emoji95][emoji95]
South Africa amefuzu kuingia 16 bora ya AFCON !!
Namibia vs Mali Imemalizika 0-0
kwahiyo Mali kaingia 16 bora huku
Namibia akisubiria best looser[emoji119][emoji119][emoji2][emoji2]
Mpite kwenda wapi?Mfano mpira ukadunda kwenye matope leo Tukipita Mafarao yanatungojea
View attachment 2881911
Ukichimama nchale ukikaa nchaleMfano mpira ukadunda kwenye matope leo Tukipita Mafarao yanatungojea
View attachment 2881911
Kote kote kugumu, tukipita kwa best loser ni pagumu unakutana na Senegal, na tukipita kwa nafasi ya pili Misri wanatusubiriMfano mpira ukadunda kwenye matope leo Tukipita Mafarao yanatungojea
View attachment 2881911