Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #5,181
Hawa wapiga krosi akina Mnoga na Lusajo ni hovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣unaota wew kwa pira la ajabu hili
Majina ya kibantuMajina yakipumbavu
Utakuwa unasinzia, vijana wamecheza vizuri hadi sasaunaota wew kwa pira la ajabu hili
Senegal [emoji1211] anasubiri mtu hapoSasa hata mkifuzu hapa kwa hili boli huko mbele mtamfunga nani?
Chezaji la mchongoMnoga anakabia macho hata krosi zake za mchongo..
Hapo wanaiombea na Tanzania ifungwe.. kazi tunayoWakodivwaa wanashangilia kufungwa kwa Zambia ili wapate nafasi ya viti maalum (best loser)
majinga kweli watapa wanachokitafuta huk mbele lazima aje kula mvua ya kutosha kwa lile timuWakodivwaa wanashangilia kufungwa kwa Zambia ili wapate nafasi ya viti maalum (best loser)
Hawana habari na match ya TZ vs CNG wao akifungwa Zambia tu basi wanapita.Hapo wanaiombea na Tanzania ifungwe.. kazi tunayo
Ukuje ushuhudiee game weyeee dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subirini tuu ila mimi naenda kulala..leo mmempa muhindi fwedha za bure..
Akili ya goli hatuna..Hapo mbele tukibadilika kidogo kuna goli.