2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kikosi cha Namibia Kinachoanza leo.
20240127_194612.jpg

KIKOSI CHA ANGOLA.
20240127_194605.jpg
 
Tanseco kama kawaida yao
Washenzi sana asubuhi wamepita na Decoder yangu ya DSTV nimejikuta nalipia Azam bila kupenda na nilishaisusa muda
Tanesco 😏😏 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Dogo anaangalia katuni wakakata na kurudisha hapohapo
Tanesco shenzao😏😏🚮🚮🚮!

cc Smart911
 
Back
Top Bottom