uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Huyu refa anazidi kupoteza imaniSaii Mmekosa goli hamfungi tena leo 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu refa anazidi kupoteza imaniSaii Mmekosa goli hamfungi tena leo 😊
Kabeeesa umeona eehh!!awa watoto inabidi watoke
Thank youuuuuu 😘😘!Pole sana...
Tuongeze jingine kwanza akili iwakae sawaWachezaji wa Angola wana nguvu sana awa ndio Angola wa mpira
Sema refa mwepesi kugawa kadi kinoumaaaHuyu refa anazidi kupoteza imani
Mkuu mpr pesa.Angalia ligi ya Sauzi hela anayopewa man of the match ibadilishe ije kwenye hela zetu uone, nakuunga mkono mpira pesa…View attachment 2884925
Amelalia sana upande wetuSema refa mwepesi kugawa kadi kinoumaaa
Ndo dawa yao haooafu awa watoto wanakuja wanajiacha sana watapigwa counter wabaki wanashangaa tu
Wanapaisha masafaKazi yao ni kupaisha tu!!
Sasa wana yai wafanyajeNamibia wameanza kucheza ukumbavu
kwahyo wew matarajio yak ilikua Angola anapigwa na watoto amabao hawajui hata Harufu ya kombe la Dunia lipojeNamibia wameanza kucheza ukumbavu
😂😂😂 unataka kuniambia nimefanya matumizi mabaya ya ushabiki?kwahyo wew matarajio yak ilikua Angola anapigwa na watoto amabao hawajui hata Harufu ya kombe la Dunia lipoje