Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachoaangaliwa ni mtu wa mwisho bila kujali alikuwa beki au goal keeper. Pale Beki alienda kusimama golini keeper akiwa ametoka. Mchezaji anapokuwa offside ni pale anapowazidi wachezaji wa timu pinzani isipokuwa mtu mmoja tu.Pia mimi sijaelewa maana beki alikuwa kwenye mstari wa goli
Kwa ufup ni weupe kbs yan weupe team zote izi.Kwa namna Nigeria na Cameroon wanavyocheza iwapo wakikutana na Angola watakufa nyingi nao
Players looks unorganized
Unatakiwa uwe nyuma ya wachezaji angalau wawili wa timu pinzani kabla ya kufunga goli jamaa aliyefunga goli alikuwa nyuma ya mchezaji mmoja tu wa Cameroon ambaye alikuwa ni beki aliyekuwa golini wachezaji wengine wote 10 wa Cameroon ikiwemo kipa wao walikuwa nyuma ya mfungaji hiyo ni OffsideNinachojiuliza offside inaangalia tu position ya kipa? Mbona kuna beki alikuwa nyuma ya kipa?
Hakika mkuuKwangu mimi nafasi ngumu uwanjani huwa naiona ni ya kipa, hutegei
Yan imekua team ya ovyo sana.Cameroon hii ni uchafu kuitazama…
Yaani miaka ile uanaangalia Cameroon mpaka una-enjoy unakutana na akina Rigobert Song kitasa cha maana, akina Raymond Kalla, DjembaDjemba, Ndiefi, Etoo, Mboma na wengineooo
Leo hii akina Joel Matip wanagoma hadi kuchezea timu ya taifa, wanaokubali kuja kucheza ni mabishoo hawana uchungu na timu yao[emoji706][emoji706][emoji706]
Hii timu ni aibu kuishabikia kwakweli inacheza mpira wa ovyo mno bora wangeishia tu makundiCameroon hii ni uchafu kuitazama…
Yaani miaka ile uanaangalia Cameroon mpaka una-enjoy unakutana na akina Rigobert Song kitasa cha maana, akina Raymond Kalla, DjembaDjemba, Ndiefi, Etoo, Mboma na wengineooo
Leo hii akina Joel Matip wanagoma hadi kuchezea timu ya taifa, wanaokubali kuja kucheza ni mabishoo hawana uchungu na timu yao[emoji706][emoji706][emoji706]
Weupe sana aisee, Wanacheza utasema Taifa Stars iliyopigwa 3-0 na MoroccoKwa ufup ni weupe kbs yan weupe team zote izi.
Wanacheza ilmrad liende.
Relax dogo. Nimesema mtazamo wangu juu ya uchezaji wake. Heshimu mawazo ya wengine.wew una mchezo kweli leo osimeh unakuja kulinganisha uchafu huo wachezaji wako wa timu ya taifa wanaocheza ligi za ulaya wameshindwa kufunga hata goli moja wameondoka na pumbu zao tu osimeh had mda huu ashafunga Goli moja unakuja kulinganisha uchafu wa mtibwa sjui kwanza msimu uliopita uliangalia ata mechi moja ya Seria A ya Napoli maana kwa maelekezo yako inaonekana hata huwaj tazama mechi yake hata moja
Huyo atakabwa leo hana pa kupumulia ila ngoja tusubr2nd half tumuone Vincent Aboubakar ndani
Nani atampelekea mpira pale mbele??Huyo atakabwa leo hana pa kupumulia ila ngoja tusubr
Huo mpira wa bahat upo bongo tuu 🤣🤣🤣 uko watu wanaonyesha uwezoHata Mbele Hakuna Kitu, Liingie lile lidingi Vicent Abubakar kidogo litasaidia huwa lina Bahati.
Swali zuri sidhan kama kuna mtu mwny akil timamu wa kufikisha mpr kwake.Nani atampelekea mpira pale mbele??