GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Uko sahihi.Ndo maana mnapasuka mishipa ya damu...nawapongeza hao waliolia kutoa uchungu mzito moyoni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi.Ndo maana mnapasuka mishipa ya damu...nawapongeza hao waliolia kutoa uchungu mzito moyoni...
Yule kiumbe Emam Ashour hayupo Leo kutupa burdani ya soka.Congo ni jtano tu Wamepita ila leo Jumapili wanatoka.... Mpira mchezo wa hatari.
Yap...hao hao...Ndio walimkanda mwenyeji bao 4?
Team BanyamulengeMtoto wa Kinshasa nipo hapa Leo mwarabu hatoko Leo na tukitoka nitalia sana 😭
Waarabu hawanaga mzaha na mtoano.Mtoto wa Kinshasa nipo hapa Leo mwarabu hatoko Leo na tukitoka nitalia sana 😭
Kwann hayupo ameumia auYule kiumbe Emam Ashour hayupo Leo kutupa burdani ya soka.
Leo nashinda hii mwarabu haniwezi hata kidogoMi nimefurahi
Team Keita.
Mungu wabariki Congo,japo hawatoboi.
Majamaa majina yao tuu yanatisha
Sasa Leo utawaonea huruma batoto ba nzambee Leo lazima tuwapige fimuWaarabu hawanaga mzaha na mtoano.
Nilimuona pia nikashangaa alivaa nyekundu nadhani [emoji23][emoji23]Hivi ni mchezaji wa timu ipi yule karibia na mapumziko alikuwa anabinua makalio mbele ya camera pale benchi? Kama ni wa EQ G, basi hakuna haja ya kutafuta sababu kwa nini wamefungwa 😀😀😀
Home boy mbemba leo aniangushi Kabisa huyu