Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa sasa kazi wanayo midaa hii nawapiga yopeee mda si mrefu
Ya uongoSILA HANA UCHOYO ILA MAJI ANAYOMWAGA HAPANA
Ligi ya Misri ndio inaongoza AfricaLigi ya farao na bongo ipi ipo juu?
Labda na njaaIla poa tu, egypt tunashinda
Wana ujinga mwingi sanaAu hawajui kama Kesho Ni Jumatatu
Safi, adui muombee njaa
Labda na njaa
Sioni ajabu mayele kutowika kama huku, bongo tunadanganyana tu hakuna mpiraLigi ya Misri ndio inaongoza Africa
Mahirizi ya injinia Hersi yalikuwa yanamsaidia sanaHata hivyo Mayele sio yule wa Yanga, haeleweki!
Mzigo mkuu unasonga[emoji91][emoji1430]Uzi unatembea kweri kweri (in jiwe’s voice)
Kabisa.Safi, adui muombee njaa