Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Egypt [emoji1093] ndio wanataka matuta sasa.Congo DR wanataka penalty wala hawajisumbui
Utaona hapo atakavyopoteza mudaCongo DR wanataka penalty wala hawajisumbui
Ajabu tupuHuyo Striker Aliyeanza Sijaona Maajabu Yeyote Ya Kumuweka Nje Mayele.
Congo DR hii gemu ni yao Egypt mwisho wake ni hapoImani yako ni kali sana dhidi ya Congo.
Congo DR wanataka penalty TU wao wanaziba Goli tu Ila Egypt washausoma mchezo wanalazimisha wapate GoliUtaona hapo atakavyopoteza muda
Hivi kweli hawa jamaa waliwezaje kumuacha El ShahatKocha wa Misri nae ujuaji mwingi umemponza. El Shahat angekuwepo hii game tungeshasema mengine.
Acha wapigwe, nipo na Congo tonight.
Ndio anajua hii gemu hawachomoi ndio mwisho leo tukutane MwakaniKumbe Salah Karudi England Banah
Tumeona tofauti. Angalia Egypt anavyopoteza muda.Congo DR wanataka penalty TU wao wanaziba Goli tu Ila Egypt washausoma mchezo wanalazimisha wapate Goli
Hapo hapo ulipo uje usherehekee Congo DR In Egypt Out Penalty
Waarabu Wana Nongwa, Ataingia hapo awafunge Goli La ushindi, Huko Puramid hakutakalikaKwa nini hawamuingizi mayele,huyu kocha fala sana
Mayele hawezi kupiga PenaltyKwa nini hawamuingizi mayele,huyu kocha fala sana
Njoo vileHivi kweli hawa jamaa waliwezaje kumuacha El Shahat
Njoo vileMayele hawezi kupiga Penalty