The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Izo bahati ndo zimeitoa kizimkazš¤£Ogopa wenye Bahati usiwachukulie poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Izo bahati ndo zimeitoa kizimkazš¤£Ogopa wenye Bahati usiwachukulie poa
Sawa mwangalie paka akushangaze Ila Cabo Verde anakufa hata paka akisema vinginevyo paka Jana kaumbuka š¤£Leo sijamchungulia paka.
Ngoja nione prediction yake
Guinea kaitoa equatorial guinea usisahauIzo bahati ndo zimeitoa kizimkazš¤£
Goli lipo 2HHawa mbona wanataka kutupeleka 120
Ngoja tuone mimi natumai piaGoli lipo 2H
Hamia nje kabisa maana hio Cabo Verde pia inatolewa leo kesho inafungasha viragoBaada ya timu yangu pendwa farao kutupwa nje
Nahamia vape verde mazima
Ndio wamekua kimichezo Sisi bado tunarukarukaHivi hawa CPV na MTN si ndio tulikuwa tunajipigia nyingi miaka ya nyuma?
Hio hio 2nd half Cabo Verde anakufa kikatiri hatoaminiNgoja tuone mimi natumai pia
Mwangalie paka anasemaje leo nani anaenda kwaoIzo bahati ndo zimeitoa kizimkazš¤£
Ndio hao hao, ila CPV alienda kuchukua watu wao wanaoishi ulaya wenye asili ya kwao akawapa uraia ndio mwanzo wa mabadiliko ulipoanziaHivi hawa CPV na MTN si ndio tulikuwa tunajipigia nyingi miaka ya nyuma?
Haya haya hamkeni hamkeniGoli lipo 2H
Tanzania sio taifa la mpiraHivi hawa CPV na MTN si ndio tulikuwa tunajipigia nyingi miaka ya nyuma?