minzakunza
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 182
- 412
Kuna ambao walijifanya wakubwa wamekutana na watoto wa mbwa wanacheza jihadi hawajaamini macho yaoAfcon hii itaongoza Makocha kutimuliwa 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ambao walijifanya wakubwa wamekutana na watoto wa mbwa wanacheza jihadi hawajaamini macho yaoAfcon hii itaongoza Makocha kutimuliwa 😃
Watoto wa kishua au maua mazuri ?Hao kepu verde kuna watoto wa kishua naona camera kila saa zinaenda hapo...
We acha tu mpaka naogopaLeo inaweza kuwa siku ya mwisho ya mashindano. Tujiandae kisaikolojia 🤣😂🤣
😂😂😂Kuna ambao walijifanya wakubwa wamekutana na watoto wa mbwa wanacheza jihadi hawajaamini macho yao
Hii jezi ya Mauritania pengine uto wataiga msimu ujaoWasubiri dkk za nyongeza kama jana mmoja afunge iume kama jana....
Sasa niwaitaje wanawake wenzangu maua..nyie ndo muwaite maua...mm naona wakishua wako na class..Watoto wa kishua au waua mazuri ?
Hiyo nchi wanaume wanaishi kwa mateso sana.Huyu cameraman kila muda ni kuonesha watoto wa CV jukwaani kawazimikia nini
Cabo Verde akifa TU gemu imeisha tufunge hesabuHii game inaisha dakika tisini.
Umeona eeee hahahahahaha...Hii jezi ya Mauritania pengine uto wataiga msimu ujao
Kazi anayo kwa hawa MTN wanavyo kazaAkifungwa CV anarudisha
Nimeona sana tuu...hahhahaHadi wewe umeona?
Mauritania win Cabo Verde OutHiyo nchi wanaume wanaishi kwa mateso sana.
Kivip mkuu😃Leo inaweza kuwa siku ya mwisho ya mashindano. Tujiandae kisaikolojia 🤣😂🤣
KonaNimeona sana tuu...hahhaha
Ukoo wa mpiraHili jina foffana ni kama naliona kwenye kila timu au macho yangu