stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Cabo Verde out Mauritania InHuyu jamaa wa Mau mwenye kipanki ni mkata umeme wa hatari...ana bleach
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cabo Verde out Mauritania InHuyu jamaa wa Mau mwenye kipanki ni mkata umeme wa hatari...ana bleach
Amevaa jezi ya Yanga usisahauJezi namba 2 kwangu anakiwasha sana....
Hah nimekuelewaSiku moja nitaenda kutembea CV
Yap mzee baba haya ndio tumekuwa tukisikia na kuyaona miaka nenda rudiNi kama Traore, Diarra, Bakayoko, Mendy nk
Cabo Verde kashakufa kitambo sanampira wa leo mshindi hatabiriki anaweza akalizwa mtu dakika za mwisho.
Wengi tu Chelsea na huko ubeligiji na FranceKuna mmoja anachezea timu ya taifa ya ufaransa
TusubirieCabo Verde out Mauritania In
Kumbe tulikuwa tunakosea kuvaa "Visit Tanzania" sijui "Visit Zanzibar" wakati kuna Cape VerdeSiku moja nitaenda kutembea CV
Mwembamba alafu ni mrefuGolikipa wa MTN mwembamba kweli, au ni haka kaTV kangu hakaonyeshi vizuri...
Kweli kabisaYap mzee baba haya ndio tumekuwa tukisikia na kuyaona miaka nenda rudi
Sema tupo wengi tumekusanyika kwa jirani ntaangalia kwa uhuru wa saa 5Umekaa wapi?
Haka karangi kao sijui ni kamchanganyiko ka wapi,aisee hawa wadada mmmhSiku moja nitaenda kutembea CV
😂😂😂Wanangu wa CV ni kama Simba tu. Ikicheza na Al Ahly au Wydad wanaupiga mwingi ila KMC inawatoa kamasi