Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Diakite pia ni mtu hatari sana na ndio kwanza ana miaka 20 tu.Foffana mtu kazi
Ivory Coast kuna Diakite, Sangare na huyo Fofana, hawa watu wanaujua mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diakite pia ni mtu hatari sana na ndio kwanza ana miaka 20 tu.Foffana mtu kazi
Inamaana Wengi mnatamani Ivory Coast atolewe?Hawajavaa kimakosa
Ni mateka wa mechi leo
Kabisa! Ilitakiwa iwe bampa to bampa weka ugoko niweke chuma weka kigingi niweke jiwe!Mechi haijachachuka kama ya kwetu kule cabo verde
Wapuuz wanawaza kung'oa viti tu.Mashabiki wamefula Ile kinoma Kuna Hali ya atar Leo[emoji2]
Mimi 65 😄Nyie kwani mna miaka mingapi naona mnazungumza mambo ya 2002 huko sijui nilikua la ngapi 🤠!
Subiri utaona wanavyowaweka mabao ya kutosha.Inamaana Wengi mnatamani Ivory Coast atolewe?
Mimi nipo upande wa Ivory Coast.!Inamaana Wengi mnatamani Ivory Coast atolewe?
Hili jina naona linatamba sana sahvFoffana mtu kazi
Tuko Pamoja, japo kwa kifichoMimi nipo upande wa Ivory Coast.!
Imebid hata mm ninyamaze nisingiliee maneno ya watu wazima🤣🤣🤣🤣Nyie kwani mko na age ngapi naona mnazungumza mambo ya 2002 huko sijui nilikua la ngapi na saii niko na 45 years 🤠!
Sababu hawa pumbavu wamepigwa mapema. Wameharibu mechi.Mechi haijachachuka kama ya kwetu kule cabo verde
Hii game sio nyepesi kama mnavyotaka kuichukulia.Mashabiki wa ivory coast leo bila shaka wamebeba misumeno ya kung'olea viti uwanjani.
Mimi sina haja ya kujificha.Tuko Pamoja, japo kwa kificho