United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Brahim diaz kagoma kuchezea morroco au kocha Ndio hajamuita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mim nawagwaya wale sitaki ata kuwasikia nashangaa had mda huu wapo kwenye michuano[emoji23][emoji23][emoji23] Cote D'Ivoire wameharibu wapi?
Robo wanakipiga na Cabo, ni walaini.
Labda aishie Semi final
Malí na Burkina ni pipa na mfuniko so wakikutana wote ni mdebwedo ila Malí akaokota dodo 😂Pamoja na kwamba Mali wamepita ni ukweli kwamba hawajakutana
unawachokoza ngoja tuwakumbushe wafanye yaoTanesco huku Goba kuna shida gani siku ya 4 hii mfululizo umeme hawakati [emoji2]
Nipo hapa nikiwa na Jezi yao Banda umiza.Haya Simba wa milima ya Atlas tufahamiane hapa
labda wafike kwenye penati ila dakika 90 South sizani kama wanatamfunga MorrocoVipi mtetez wa waarabu nae akafunga virago vyake leo?
Si itakua imekaa poa ndugu zngu?
Wanaovocheza had ss inaonekana ngum.labda wafike kwenye penati ila dakika 90 South sizani kama wanatamfunga Morroco
Kombe letu hili Senegal limewashindaNipo hapa nikiwa na Jezi yao Banda umiza.
atakuwa hajaitwaBrahim diaz kagoma kuchezea morroco au kocha Ndio hajamuita
Hatujazoea hivi yaani siku ya 4 leo mfululu nilishajiandaa kwenda kuingalizia bar hii gameunawachokoza ngoja tuwakumbushe wafanye yao