The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Hawa watu wa mandela wamalize mechi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka anasemaje?Offside gani hiyo, huyo refa vipi
Na ndio kilichowatoa Senegal mda wote upo nyuma unaogopa nin vita Vita tuSauzi waache mpr wa kimama.
Wafunguke kama wanaume wacheze mpr wa maana.. Kuwaogopa hawa maboya ndo kunafanya wanatafutwa kila mara.
mechi gani?Penalty
Mlete Paka kwanza alafu tuendeleeHawa watu wa mandela wamalize mechi hii
Eeh waache mpr wa kuvizia fungukeni na nyie mwarudishe Morocco golin kwao.Na ndio kilichowatoa Senegal mda wote upo nyuma unaogopa nin vita Vita tu
Nilidhani kabla ya marejeo ya tukiomechi gani?
achana nae huyo sasahv anafata sehemu yenye shombo shombo😂😂🤣kashaingia tamaa afany kazi yakeMlete Paka kwanza alafu tuendelee
Niletee paka leo utabiri wa paka ni wa muhimu zaidi au kaingia chungu cha penalty?achana nae huyo sasahv anafata sehemu yenye shombo shombo😂😂🤣kashaingia tamaa afany kazi yake
leo sijfatilia mkuu, ila Leo SA atachana mikeka ya watu wengi au unaonajeNiletee paka leo utabiri wa paka ni wa muhimu zaidi au kaingia chungu cha penalty?
Timu bovu au na wenyewe mabovu wew vip kwani Morroco anamaajabu Gani kwenye Africon sjui mara ya mwisho lini kacheza fainailiMorocco amepoa, sijajua ni kutokana na timu bovu analochezanalo!
Morroco wanakosa kosa magori ovyomsauz na mpira wapi na wapi. msauz yake kuchezacheza na kula bia
Nionaje Mimi namsaka Paka tu HAPA sielewileo sijfatilia mkuu, ila Leo SA atachana mikeka ya watu wengi au unaonaje