Komba the Great
JF-Expert Member
- Apr 25, 2016
- 340
- 654
Ndio mmoroco wa KinondoniDah kwaio wamorocco nd tunatoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mmoroco wa KinondoniDah kwaio wamorocco nd tunatoka
Kwa huu ukuta wa SA hawawezi kurudisha ila wanaweza kupigwa cha 3Haya Huyu aiwahi Man U,
Sina la kusema aisee niliwadharau sana hawa wasauzi kumbe wapo vizuriMimi nilisema hapa mapema tu, Bwana Gwele una chochote cha kusema?[emoji16]View attachment 2889199
Tangu mwazo wa mashindano hawa Morocco hawakuwa na mpira wowote wa kutisha, nilikuwa nashangaa sana mlivyokuwa mnawapa ubingwa kilaini.Itakuwa aibu kwenda extra time na sauz, tunarudisha na kuimaliza game kwenye 90 hizi hizi
Kwakuwa ni Morocco [emoji1173] atapewa.
Lakini sioni Penalty hapo.
yatoke tu yarudi kwao yataria kweli mpira ukishaHawa mafala walikana tena kwa jeuri na kejel za shombo.
Ss wao sio waAfrica wanalia nn kutoka AFCON?
Nimejibu mkuuAkijibu nitag
South Africa na mamelod wakicheza na mwarabu we wafate tuu hutojutaSina la kusema aisee niliwadharau sana hawa wasauzi kumbe wapo vizuri
Hawa timu Yao mbovu tu hata game na congo walikoswa koswa sanaHawa mafala walikana tena kwa jeuri na kejel za shombo.
Ss wao sio waAfrica wanalia nn kutoka AFCON?
Polee sanaNimejibu mkuu
Kila mtu ataonja mwaka huuMatokeo mazuri sana. Amapiano forever!
Waende tu nje na jeuri yao wkt team ya kawaida.Hawa timu Yao mbovu tu hata game na congo walikoswa koswa sana
Naunga mkono hojaWaende tu nje na jeuri yao wkt team ya kawaida.
Tactics zao za unga unga mwana za WC za kuvizia vizia ziliwapa sana jeuri.
Katunea Sisi Kichwa cha Mwenda Wazimu na Jirani Yetu Chipolopolo, Ndombolo ya Congo tuu ili Mshinda, Leo kakumbana na AMAPIANOTangu mwazo wa mashindano hawa Morocco hawakuwa na mpira wowote wa kutisha, nilikuwa nashangaa sana mlivyokuwa mnawapa ubingwa kilaini.