Hata km hivi TZ nn kinatuweka busyawa si wana wachezaji wengi wanatoka euro na sio Congo yote ina vita
Km yakitokea ya kongo miongo yote machafukou
Unahisi sera zetu tutaukumbuka mpira kweli
Km tu tunaaman lakini mpira unatushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata km hivi TZ nn kinatuweka busyawa si wana wachezaji wengi wanatoka euro na sio Congo yote ina vita
Merci monsieur [emoji123]AllezYLesLeopards
Oui[emoji106]L'égalisation du patron Chancel Mbemba [emoji1078] après un penalty injustifié contre la RDC .
mbemba un Capitaine Exceptionnel
Sisi huku Goba siku hizi huwa haukati kabisaaTanesco washachukua mzigo wao
Sisi huku Goba siku hizi huwa haukati kabisaa
Sisi wenyewe tunashangaa inaelekea wiki ya pili sasa umeme haukati na hatujazoeaHuku kwetu wanazingua sana
Hongereni wazeeSisi wenyewe tunashangaa inaelekea wiki ya pili sasa umeme haukati na hatujazoea
Chato streetMaeneo gani mkuu
Porojo nyingiNajua wakishalibeba mara 2 hilo kombe, ila sisi hata robo hatujawahi kutinga, sijui wabongo tunakwama wapi?!
Ulisema Afcon nzima unakosea mkuuMimi ni Yanga ila Inonga hakuna beki wa kumfikia AFCON nzima
Mwasibu kumbuka sisi makolo tulipigwa 5 tukiwa na inongaMimi ni Yanga ila Inonga hakuna beki wa kumfikia AFCON nzima
Wisa hana kitu...hajui...Mwanetu Wisa akiweka umakini kidogo tu anatupa ushindi
Anakosa utulivu kabisaHuyu Yoane Wissa Leo Anazngua Sana Aisee Silas Katompa Aingie Ndani Haraka
Wenge, Hana GoliAnakosa utulivu kabisa