Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Hv Hawa Wakongo tulivyocheza nao tuliwashika au waliamua tuu kulegeza?
Nawaza tuu ilikuwaje wakashindwa kutunyeshea mvua [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv Hawa Wakongo tulivyocheza nao tuliwashika au waliamua tuu kulegeza?
Nawaza tuu ilikuwaje wakashindwa kutunyeshea mvua [emoji848]
Hawakuelewa formula yetu [emoji38][emoji38]Hv Hawa Wakongo tulivyocheza nao tuliwashika au waliamua tuu kulegeza?
Nawaza tuu ilikuwaje wakashindwa kutunyeshea mvua [emoji848]
Walikuwa wanahitaji droo tu kupitaHv Hawa Wakongo tulivyocheza nao tuliwashika au waliamua tuu kulegeza?
Nawaza tuu ilikuwaje wakashindwa kutunyeshea mvua [emoji848]
Ila jamaa katuwakilisha waomba namba [emoji3][emoji3][emoji3]. Pisi kama ile unaachaje kuomba namba bwana.
Kweli kabisaInonga msimu ujao hatutakuwa nae watamchukua
Kuanza 11 ya Congo sio jambo dogo. Apewe maua yake.Inonga msimu ujao hatutakuwa nae watamchukua
Tetesi zinasema FAR Rabat anaendaInonga msimu ujao hatutakuwa nae watamchukua
Nani anamhitaji huko Morocco kwenye timu yake ya FAR RabatInonga msimu ujao hatutakuwa nae watamchukua
Papapatu papatu nyingi😃Hawakuelewa formula yetu [emoji38][emoji38]
Kocha kaona leo watatoka kampa dakika 90 acha alie mkuuSasa Keita analia Nini? Yaani alijua watashinda
Hii sura ya Wissa ya kibongo kabisa. Kuna jamaa wanafanana nae sana.RDC, toko longa [emoji1078][emoji91] fimbu fimbuView attachment 2892421
[emoji1787][emoji1787]Papapatu papatu nyingi[emoji2]
Welete hela tu, sisi hatubanii watu maishaTetesi zinasema FAR Rabat anaenda