Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Jamaa Leo aliumia kitambo bega,sio rahisi kufuata mipira kama siku ileLeo mwanangu hajaotea hata moja daah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa Leo aliumia kitambo bega,sio rahisi kufuata mipira kama siku ileLeo mwanangu hajaotea hata moja daah
DRC ni ndugu zangu lakini nimeipenda Ivory coast leo with no reasonKwa Nini Cherie karibu DRC tukupe furaha
Penalty kawaida keeper hatakiwi kusifiwa bali mpigaji kulaumiwa.Huyu kipa wa South alidakaje zile penat 4 mbona mwepes
Asee Sasa hapo katiba mpya inaingiajeKuna channel ni za kiwaki sana yaani jamaa wameonyesha mpira dk 120 alafu muda wa penalty wameukata matangazo, unyanyasaji wa kijinsia kabisa hapa ndipo unapopona umuhimu wa katiba mpya.
nimekuelewa utabiri wako upo vizuriGolie la Chippa united limekuwa shujaa
Mpigaji hapo ni Mvala tu. Huyu ndio alitakiwa kuanza ili kuonyesha mfano.South Hamna wapigaj mamaaeeehh