Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna nyekundu mechi ya leo labda wapate NigeriaNa Kuna Red Card Mechi Ya Leo
Sijui Kwanini Kocha Alikua HamuanzishiHuyu mtoto Simon Adingra anajua sana mpira
Leo ntakomaa!hutoboiiii wew unapenda kulala fainali hii atu juzi mechi ya Congo na ivory coast ulikata lingi mapema tu
Anajua sana, pia anaendana na umri wake kabisa 22.Huyu mtoto Simon Adingra anajua sana mpira
Hamna nyekundu mechi ya leo labda wapate Nigeria
Here we go...Nabeti Bingwa anatoka kati ya hizi timu:
-Nigeria
-Ivory Coast
Amesha taka Kuleta Kilio hapaAnajua sana, pia anaendana na umri wake kabisa 22.
Victor Anatumia Nguvu Sana Kukaba Hao Mabeki.Huyu mask anataka kuleta balaa tena
Ndio ivory coast leo anabeba hii.NdoooNaona Unawapa Ivory Coast Nafasi
Hapo kama Beki ya Nigeria ni Madingi, kazi wanayo leoHaka katoto ka Simon hakaaa🤔🤔
Ndio ivory coast leo anabeba hii.Ndooo