Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #12,661
🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaya Toure hayupo..ana kibarua kule kwenye michuano ya Asia.Michuano hii sijamuona Yaya Toure, au wenzangu mlimuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wamefanya jitihada binafsi sana pamoja na timu yao kua na mpira wao wa papatu papatu toka mashindano yaananza.ivory coast kuna watu watu kama watano ivi kwenye first eleven yao wamefanya timu imebadilika sana Seri,Adingra,Kossonou, Haller na Diakite
Ahsante kwa taarifaYaya Toure hayupo..ana kibarua kule kwenye michuano ya Asia.
Alitoa udhuru mapema sana.
Acha kuotaaa mkuu, kwa wachezaji gn ssSasa na Sisi 2027 Itakua Zamu yetu Kubakisha Ndoo Nyumbani. Si ndio Ndugu zangu?