2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

Sio mbaya mtani, furahia maisha🤣
Uzuri mmoja napiga vitu nikiwa zangu ndani tu nikitoka hapa najirusha kitandani tu😅😅😅 nikiamka naangalia chakufuta na futa😅
 
mara No Election mara ccm out tukamate lipi wakuu?
 
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Huu ni mkwara
Serikali ya mitaa mlifanya nn??
 
Vijana hawahawa wa kibongo? Au mmekodi toka sayari ingine?
 
Itoke iende wapi
Lazima kuwe kuna sehemu imeandaliwa ili iende huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…