Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
wapinzani kuishinda cc inawezekana kama watapata mgombea anaekubalika nchi nzima. Pia wawe na mikakati ya hali ya juu na mbinu kali kushinda za ccm. Watumie vizuri madhaifu ya ccm hapo watashinda lakini sio kwa kutegemea vijana wa tz. Tz ina vijana wa hovyo ambao wengi wao hawajielewi na hawapigi kura na wengine wakipewa ela za vikundi wote wanapgia kura ccm halafu uchaguzi ukiisha wanaanza kulia hali ngumu.CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Abee!Huyo hatakiwi ajue ni mlokole matata sana,labda hawa kina shindikanaa
Clinically you're exhibiting features of AnencephalyYou seem to be nincompoop
HiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiClinically you're exhibiting features of Anencephaly
🆘Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
CCM ni hatari kwa watanzania.CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Kwa hiyo unaishauri CCM iongeze posho maradufu kwa wasimamizi wa uchaguzi 2025?CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Sawa tumekubali CCM out 😆😆CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
It could be viceversa!CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana.
Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
Mutalis mutandisIt could be viceversa!