nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Vyovyote vile, CCM utaondoka na aibu kubwa 2025Kwa Tume hii ya Samia ?!
Mpaka sasa tuna upinzani dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya upinzani na vyama vya upinzani hapa Tz. Hakuna chama hata kimoja chenye mtu ambaye anakubalika na watanzania wengi kama mgombea wa kiti cha urais kutoka upinzani. Wapinzani wamekuwa so weak kiasi kwamba wamebaki tu kimya hawakemei waziwazi mambo mabovu yanayofnywa na serikali kwa kuogopa kushambuliwa au hata kuuwawa.Kisiasa mpaka sasa FAM, LISSU wote wapo juu ,ni swala la kukubaliana tunapanda na nani na wao kukubaliana tu
Hata ivyo umesema ukweli, mgombea wa ccm akiwa SSH, ni mgombea weak hata Mie nikisimamishwa na CHAMA saa 7 mchana nimemaliza biashara,
Ikumbukwe uchaguzi 2025 sio uchaguzi na CCm ,bali uchaguzi kati ya dhuluma na ukandamizaji, lazima CCM waondoke ,ZAMBIA NDANI YA TZ inakuja 2025
Kuidhoofisha ccm ni kuiondolea nguvu za dola, yahani kumuweka samaki nje ya maji.SSH anweza akawa weak candidate lakini CCM bado sio chama dhaifu...
Kwa wapinzani kushinda uchaguzi mkuu inahitaji kukidhoofisha Chama cha Mapinduzi kwa sababu bila hivyo CCM hata wakiweka jiwe wanaweza kushinda...
CCM wana fitna, wana watu, wana mifumo...
Ukweli wanaujua, yaani Lissu hakuwa na bango, coverage ya media, wasaniii, lakini alimfamya jiwe akaenda geraji [emoji38]Ccm kwisha ,ila nakubali kwamba kinabebwa na mfumo ila mbeleko nao una mwisho, Kama CCM sio dhaifu why 2020 walivalisha mpaka watoto wa shule jezi Ili kuongeza vichwa
Kwi kwi kwiMwaka 2020 ulikuwa uchaguzi mwepesi sana kwa CCM...
1995 na 2015 hii ndio miaka ambayo ulimi uliwatoka CCM kwa kupelekeshwa na upinzani...
Speech zake nyepesi hatari, kuhutubia hamna kitu, Hana Strong hold ATA moja uku bara,,Sio hivyo tu siasa za kwenye majukwaa pia haziwezi ,Upako wa kisiasa kwake upo chini, sio kwamba Rais lakin tuliomfatilia kampeni za 2020 Kama mgombea mwenza ukubalikaji wake ujengaji wa hoja aliachwa mbali na mgombea mwenza wa CHADEMA,
Sasa nafasi ya urais si ndo itakua balaa, Sana ataeleza ujenzi wa madarasa, nalo jibu litakua MOJA kwamba ni pesa za uviko
Atasema miladi imemalizika,sijui reli, Bwawa,n.k jibu litakua ni MOJA tu TOZO ZETU,
Akija na mpango wa kuboresha maisha ,ataambiwa Tumeisha shutuka hakuna mitano tena
Hoja zinakua zimekwisha
Majambazi hayo hayo yanawapelekesha adi mnaiba uchaguzi [emoji14]Mnyika itapendeza ila hao wengne ni majambazi wawili
Kuidhoofisha ccm ni kuiondolea nguvu za dola, yahani kumuweka samaki nje ya maji.
Ila Msukuma, Babu Tale, na Lusinde wanazo, lakini unasahaau Mbowe alikuwa mshinda wa tatu baada ya JK 2005Mbowe hana sifa ya kugombea urais...elimu hana
Na dokezo hilo la marehemu Mzee JKN sioni likitokea kwa utaratibu na Sheria zilizopo, upande wa raisi ndo washindi.Na hapo ndipo kilipo kitendawili, ambacho kwa kiasi Mwl Nyerere alikitolea dokezo la jawabu lake, kwamba ili kuidhoofisha CCM ni hadi pale kutapotokea mpasuko ndani yake na upinzani kuanzia ndani...
Sawa bwana , mawazo binafsi ni haki yakoMpaka sasa tuna upinzani dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya upinzani na vyama vya upinzani hapa Tz. Hakuna chama hata kimoja chenye mtu ambaye anakubalika na watanzania wengi kama mgombea wa kiti cha urais kutoka upinzani. Wapinzani wamekuwa so weak kiasi kwamba wamebaki tu kimya hawakemei waziwazi mambo mabovu yanayofnywa na serikali kwa kuogopa kushambuliwa au hata kuuwawa.
Kama wapigania uhuru wa mataifa haya ya kiafrika wangekuwa waoga kama walivyoviongozi wengi wa vyama vya upinzani hapa Tz naamnini mpaka leo nchi nyingi za kiafrika zingekuwa bado zinatawaliwa. HAKUNA TENA UZALENDO BALI NI MASLAHI TU.
Na jiwe alipigwa basi tuUkweli wanaujua, yaani Lissu hakuwa na bango, coverage ya media, wasaniii, lakini alimfamya jiwe akaenda geraji [emoji38]
Kigezo cha elimu 2005 hakikuwepo alipogombea urais ?Mbowe hana sifa ya kugombea urais...elimu hana