Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Mama Samia akija na style ya kuheshimu mawazo ya wale anaowaongoza JPM atakumbukwa mtu akiwa kafika daraja la Busisi ,stendi ya Mbezi na sgr tu .Believe me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukicheka na nyani.... Nadhani hiyo ndiyo inatumiwa Sana karibu kote duniani..ni kweli kila upande haujali hisia za upande mwingine.
..pia ukiwa mkweli utakubaliana na mimi kwamba wafuasi wa upinzani wamepitia kipindi kigumu cha kupigwa, kuteswa, na kudhalilishwa, tangu Raisi Magufuli aingie madarakani.
..tawala za zilizomtangulia zilikuwa na mambo yake mabaya dhidi ya wapinzani, lakini utawala wa Magufuli ni kama vile ulihalalisha na kuwa wawazi zaidi katika kupiga, kutesa, na kudhalilisha, wapinzani. Walifanya waziwazi, kujiamini, na kwa fahari kubwa.
..Kama tunataka kuiponya nchi hii basi ni vizuri tukawakanya na kuwatuliza CCM wenye uwezo wa kuleta madhara makubwa zaidi kwanza, halafu tushughulike na wapinzani ambao uwezo wao uko kwenye matusi tu.
..Sijaona mwana-ccm aliyepata ulemavu, au aliyefariki, kutokana na matusi ya wapinzani. Lakini tunao wapinzani wenye ulemavu, waliopoteza maisha,...kutokana na ukatili wa ccm.
Nimebahatika
Ni ngumuuuu💔💔💔
Kwani 2021 kuna kilichoongezeka? Si tumetoka kwenye uchaguz Juz tu 2020 na ikabidi atumie mbinu shirikishi kushinda? Hao wananchi n wa wapi?
Pole sana,Inawezekana kuwa ni kweli, lkn haya ni sehemu ndooogo Sana Kati ya makubwa mengi mazuri aliyofanya huyu Jembe
Bado kupeleka hoja ya kujengewa sanamu ili waendelee na ibadaKumbe Kusifu na Kuabudu kunaendelea hadi leo!
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Bado kupeleka hoja ya kujengewa sanamu ili waendelee na ibada
Kabisakwan mlikua mnategemea kushinda?
Hofu yako ndio itakumalizaSio rahisi tena kwa CDM kuchagua kibaraka kukiwakilisha chama
Kabisa
Yaonekana bado una ugonjwa wenu huko kijani. Nenda kashuhudie mnara wa Babeli unavyoporoka.unatakiwa kutafautisha kati ya wapangaji wa chumba na taasisi, sasa wewe unataka kushindana na ccm uko timam kwel?
Huyu binadamu Leo Acha atambe Kwa kutukana hata wafu, utadhani yeye atakwepana na umauti,Kupitia huu msiba Tundu lisu kashapoteza ile hali ya kuaminika.hilo asahau tu.
Siku zote Ukiwa mpinzani, kila njia njema atakazozitumia mpinzani wako ni lazima hutakubaliana nazoPole sana,
HEBU kwa uchache nenda kawaulize na hawa
Imbeni tu mapambio kujifurahisha.
- watumishi wema waliotumbuliwa kiholela,
- wananchi waliobomolewa nyumba zao kwa ubabe Kimara.
- akina Nape na vitisho kwa Mashangazi zao na walima korosho.
- walioharibiwa biashara, mashamba na majengo yao.
- waliobambikiwa kesi kukamatwa hovyo
- walioshambuliwa na kuuwawa kwa mapanga na marisasi.
Kwamba amtaje mtu aliyevuruga bei ya sukari
Bei ya mbaazi
Bei ya mafuta
Bei ya korosho
Sio mbaya hayo ni mawazo yako inabidi tuyaheshimu
Mradi wa jiwe uliokamilika ni kununua wabunge wa upinzani ambao wengi wao baada ya kufa kwake hawaijui hatma yaoMagufuli kwa sasa ndio SI Unit ya maendeleo na uongozi wenye kugusa maisha ya watu.
Chadema mnavyoendelea kujaribu kupambana nae ndio watu wanaendelea kuwapuuza.
Lowassa alishawai washauri achaneni na harakati fanyeni siasa za kistaarabu, mkamuona hamnazo. Haya endeleeni kupambana na Magufuli mtakiona cha moto.
Kwamba amtaje mtu aliyevuruga bei ya sukari
Bei ya mbaazi
Bei ya mafuta
Bei ya korosho
Sio mbaya hayo ni mawazo yako inabidi tuyaheshimu