2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

Dah....wakati wa enzi zake akiwa hai....binafsi sijawahi msikia hayati JPM akilitaja jina la Tundu Lissu.....Lakini Tundu Lissu amelitaja jina la Magufuli kwa wastani wa mara 15 kwa siku x ((365 x 5) + 117))....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
SMG ilishindwa kazi.. akaona ukuu wa Mungu ,

Aliona Aibu kumtaja mtu hv.

HV KUMBE KAFA mungu wenu?
 
Hayo mataifa yote niliyotaja hakuna hata moja lililopiga hatua kwa kuwa na mara tume huru

Taiwan, Malaysia
Hivi unayajua hata Mataifa?


The Election Commission of Malaysia, abbreviated SPR or EC, is a commission set up for ensuring fair and equitable operations in undertaking the elections in Malaysia.

Taiwani👇

Central Election Commission (Taiwan)​



The Central Election Commission (CEC; Chinese: 中央選舉委員會; pinyin: Zhōngyāng Xuǎnjǔ Wěiyuánhuì; Pe̍h-ōe-jī: Tiong-iong Soán-kí Úi-oân-hōe) is the statutory independent agency responsible for managing local and national elections in the Republic of China

Mataga acheni kuudangaya Umma
 
Huyu mtu atasahaulika haraka sana kwasababu anapewa sifa za kulazimisha kwa kutumia nguvu ya media.
Jamaa kaongea ukweli... uthubutu wa JPM haukuwa mdogo, kila aliesema alipigiwa simu na JPM alipigiwa usiku au alfajiri! Unaweza ukashangaa jamaa alipata mda wakulala kweli..! Sijui ila angalia Masoko yaliyojengwa sehem mbalimbali karibu kila mkoa, Hapa DSM kuna soko la kisutu, Magomen etc kuna stand nyingi za mabasi zimejengwa kipindi chake, Vituo vya afya pamoja miradi ya kimkati SGR, RUFIJI yote historia itambeba na zike ndege zake (Hapa kazi tu)

Unakumbuka kila wapinzani waliposimama enzi ya Jakaya walikuwa wanarejea kuwa Nyerere alituachia ndege kadha wa kadha lakini zote zimeuzwa..!! Sasa hizo ndege zipotee rejeo litakuwa JPM, miradi ya kimkakati kama wa umeme kule Rufiji kila kama utakwama basi tutarajie hilo.. wananchi wa kipato cha chini, wamachinga na mama ntilie alikadhalika lazima uwaahidi kuwa utawafanyia kile ambacho Hayati aliwanfanyia ili wakuamini.... rejeo baba.. ata watu wa Moshi kama treni yenu itakuwa imekufa tena basi yupo ambae ataahidi kuifufua kama alivyoifufua JPM ambapo ilikuwa imekufa miaka 30 iliyopita... Ili uwe maarufu kisiasa na ukubalike hunabudi kumtaja JPM aliyeiona kesho ya Tanzania.
ukmitumbatz_1616149547903464.jpg
 
Hayo mambo yenu ya matume sijui nini ndo mabeberu wanamopitia. Magufuli asingeweza kuwa 100% perfect ni binadamu lakini ameonyesha sisi kama inchi tunaweza kufanya mambo makubwa na kuibadili inchi kwa kipindi kifupi sana. China waliweza ndani ya miaka 30, Taiwan, Malaysia, Vietnam na nyingine nyingi tu. Huko walikopita hao ndo huko alikokuwa anapita chuma. Hayo mataifa yote niliyotaja hakuna hata moja lililopiga hatua kwa kuwa na mara tume huru, sijui katiba sijui haki ya kuona mafisadi wana neemeka na rasilimali za inchi kwa kisingizio cha kutumia sheria kandamizi zinazotungwa na wabunge walioingizwa na hao hao mafisadi bungeni.
Tunatambua huko ccm sheria na katiba inatumika kuwabana wapinzani tu.

Ccm hampendi hadi katiba?
 
Hadi muda huu nyie msiojitambua mnaonekana mmeshinda!. Subirini tumzike halafu tunaojielewa tuanze kufunguka, muone uchafu wa huyo jamaa yenu, mtayajua na yaliyofichwa
Labda uchafu aliufanya kuwafufulia treni iliyokufa kwa miaka 30 iliyopita.
 
Hiyo 2025 hawezi kusimamishwa kugombea tena hana mvuto huyo, hata mwaka 2020 walitegemea kura za huruma na zenyewe zikagoma.

Lakini pia wenye chama walimweka kwa makusudi kama angeupata hata miezi sita asingemaliza, wangemalizia kazi walioinzishia Dom.
 
..sasa vijana wa ccm badala ya kumuombea DUA NZURI mwenyekiti wao aliyetutoka, ndio kwanza "wananoa mapanga" kuwashughulikia wapinzani.

..kwa kweli vijana wa ccm wanavyoenenda ni kana kwamba Jpm ameuwawa na wapinzani, wakati amekufa kwa ugonjwa aliokuwa nao tangu Tanzania haijaingia ktk mfumo wa vyama vingi.

Nilitegemea basi upande wa pili kuonyesha maturity zaidi ktk hili kuliko hizi kejeli na lugha za maudhi pia wanazozielekeza kwa Marehemu. Ukiangalia bila kuwa biased,kilichosababisha hii reaction ya Vijana wa CCM ni zile lugha za dhihaka zilizoanza kutolewa na Wapinzani wao hasa CDM,kifo cha JPM wanarelate na Masaibu yaliyompata Lisu 2017 huku wakionyeshwa kufurahishwa na huu msiba.katika hali kama hii utawalaumuje hao Vijana wa CCM wakiamua kurudisha mapigo?
Nadhani busara zaidi ingetumika pande zote,tusingefika hapa.Angalia jinsi Mbowe alivyoreact ktk huu msiba,amekuwa mtulivu sana japokuwa ana machungu yake mengi tu angeweza kuyatoa,lkn kukaa kwake kimya kwa hiki kipindi hii ndiyo Level ya Juu kabisa ya Maturity.
 
Huyu mtu atasahaulika haraka sana kwasababu anapewa sifa za kulazimisha kwa kutumia nguvu ya media.
Nafikiri wenye fikra kama zako ambao kimsingi ni wachache ndiyo watakaomsahau..huyu ni Mwamba katika kundi la Miamba
 
Hadi muda huu nyie msiojitambua mnaonekana mmeshinda!. Subirini tumzike halafu tunaojielewa tuanze kufunguka, muone uchafu wa huyo jamaa yenu, mtayajua na yaliyofichwa
Ukweli utasimama tuu, Mwanaume huyu alikuwa hauzi sura wala kupiga porojo
 
Dikteta wa kwanza kabisa katika historia ya Tanzania hatimae kafa

Kaacha Makaburi na Daraja

Thank you God.
 
Mh Tundu lissu, itamlazimu aombe Kura huku akirejea utendaji wa JPM na Jina la JPM kuombea Kura.
Huyu hata amtaje JPM mara mia kila siku, nakuhakikishia hawezi kushinda nafasi yoyote. Nani wa kuchagua mtu mjinga kiasi hicho? Mtu asiye na hikima kiasi hicho ndo tumchague kuwa kiongozi eti kwa sababu tu anaimba JPM usiku na mchana? Hivi ninyi huwa mnatuonaje, mnadhani sisi ni vilaza kiasi kwamba tunaweza kuchagua dubwana lolote tu na kulipa uongozi?
Mark my words: Chadema bila kuachana na uharo na shombo za hilojinga hawana bright future!
 
..naamini JF imeharibika baada ya kuvamiwa na vijana wa ccm ambao ni mashabiki wakubwa wa magufuli.

..na vijana hawa walimfanya magufuli kuwa kama mungu mtu, katika macho yao magufuli alikuwa hakosei.

..nadhani ni wakati sasa watanzania kuwa na uongozi shirikishi. ni vema sote watanzania wote tukawa na thamani.
Unataka mshenzi Lissu aonekane ana thamani, hadhi yake ni kuenziwa na mashoga wake huko, akifa mwambieni achomwe moto tu, hatutaki kuona vichaa Tz.
 
Huyu hata amtaje JPM mara mia kila siku, nakuhakikishia hawezi kushinda nafasi yoyote. Nani wa kuchagua mtu mjinga kiasi hicho? Mtu asiye na hikima kiasi hicho ndo tumchague kuwa kiongozi eti kwa sababu tu anaimba JPM usiku na mchana? Hivi ninyi huwa mnatuonaje, mnadhani sisi ni vilaza kiasi kwamba tunaweza kuchagua dubwana lolote tu na kulipa uongozi?
Mark my words: Chadema bila kuachana na uharo na shombo za hilojinga hawana bright future!
Nimekuelewa zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom