3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hili swali muulize Ndugai.. yule phala wa bungeHivi, kuna siku pia huyo mtu naye atakufa!! au yeye hatakufa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali muulize Ndugai.. yule phala wa bungeHivi, kuna siku pia huyo mtu naye atakufa!! au yeye hatakufa??
SMG ilishindwa kazi.. akaona ukuu wa Mungu ,Dah....wakati wa enzi zake akiwa hai....binafsi sijawahi msikia hayati JPM akilitaja jina la Tundu Lissu.....Lakini Tundu Lissu amelitaja jina la Magufuli kwa wastani wa mara 15 kwa siku x ((365 x 5) + 117))....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mataifa yote niliyotaja hakuna hata moja lililopiga hatua kwa kuwa na mara tume huru
Hivi unayajua hata Mataifa?Taiwan, Malaysia
Jamaa kaongea ukweli... uthubutu wa JPM haukuwa mdogo, kila aliesema alipigiwa simu na JPM alipigiwa usiku au alfajiri! Unaweza ukashangaa jamaa alipata mda wakulala kweli..! Sijui ila angalia Masoko yaliyojengwa sehem mbalimbali karibu kila mkoa, Hapa DSM kuna soko la kisutu, Magomen etc kuna stand nyingi za mabasi zimejengwa kipindi chake, Vituo vya afya pamoja miradi ya kimkati SGR, RUFIJI yote historia itambeba na zike ndege zake (Hapa kazi tu)Huyu mtu atasahaulika haraka sana kwasababu anapewa sifa za kulazimisha kwa kutumia nguvu ya media.
Tunatambua huko ccm sheria na katiba inatumika kuwabana wapinzani tu.Hayo mambo yenu ya matume sijui nini ndo mabeberu wanamopitia. Magufuli asingeweza kuwa 100% perfect ni binadamu lakini ameonyesha sisi kama inchi tunaweza kufanya mambo makubwa na kuibadili inchi kwa kipindi kifupi sana. China waliweza ndani ya miaka 30, Taiwan, Malaysia, Vietnam na nyingine nyingi tu. Huko walikopita hao ndo huko alikokuwa anapita chuma. Hayo mataifa yote niliyotaja hakuna hata moja lililopiga hatua kwa kuwa na mara tume huru, sijui katiba sijui haki ya kuona mafisadi wana neemeka na rasilimali za inchi kwa kisingizio cha kutumia sheria kandamizi zinazotungwa na wabunge walioingizwa na hao hao mafisadi bungeni.
Labda uchafu aliufanya kuwafufulia treni iliyokufa kwa miaka 30 iliyopita.Hadi muda huu nyie msiojitambua mnaonekana mmeshinda!. Subirini tumzike halafu tunaojielewa tuanze kufunguka, muone uchafu wa huyo jamaa yenu, mtayajua na yaliyofichwa
Watu wanazubaa mbwa zinatiana itakuwa msiba wa rais?Ata wale wanaoenda msibani na kukaa barabarani wakimuaga mpendwa wao walipelekwa na malori ya ccm na buku tano tano kila mmoja.
..sasa vijana wa ccm badala ya kumuombea DUA NZURI mwenyekiti wao aliyetutoka, ndio kwanza "wananoa mapanga" kuwashughulikia wapinzani.
..kwa kweli vijana wa ccm wanavyoenenda ni kana kwamba Jpm ameuwawa na wapinzani, wakati amekufa kwa ugonjwa aliokuwa nao tangu Tanzania haijaingia ktk mfumo wa vyama vingi.
Nafikiri wenye fikra kama zako ambao kimsingi ni wachache ndiyo watakaomsahau..huyu ni Mwamba katika kundi la MiambaHuyu mtu atasahaulika haraka sana kwasababu anapewa sifa za kulazimisha kwa kutumia nguvu ya media.
Train ilikufa kwenye awamu ya Wapinzani?Labda uchafu aliufanya kuwafufulia treni iliyokufa kwa miaka 30 iliyopita.
Ukweli utasimama tuu, Mwanaume huyu alikuwa hauzi sura wala kupiga porojoHadi muda huu nyie msiojitambua mnaonekana mmeshinda!. Subirini tumzike halafu tunaojielewa tuanze kufunguka, muone uchafu wa huyo jamaa yenu, mtayajua na yaliyofichwa
Kwa kufuta uchaguzi kweli wanajiua..Upinzani unazidi kujiua wenyewe
Zilimwapo.Mbaazi zinalimwa wapi?
Huyu hata amtaje JPM mara mia kila siku, nakuhakikishia hawezi kushinda nafasi yoyote. Nani wa kuchagua mtu mjinga kiasi hicho? Mtu asiye na hikima kiasi hicho ndo tumchague kuwa kiongozi eti kwa sababu tu anaimba JPM usiku na mchana? Hivi ninyi huwa mnatuonaje, mnadhani sisi ni vilaza kiasi kwamba tunaweza kuchagua dubwana lolote tu na kulipa uongozi?Mh Tundu lissu, itamlazimu aombe Kura huku akirejea utendaji wa JPM na Jina la JPM kuombea Kura.
Niwewe umesema.Train ilikufa kwenye awamu ya Wapinzani?
Unataka mshenzi Lissu aonekane ana thamani, hadhi yake ni kuenziwa na mashoga wake huko, akifa mwambieni achomwe moto tu, hatutaki kuona vichaa Tz...naamini JF imeharibika baada ya kuvamiwa na vijana wa ccm ambao ni mashabiki wakubwa wa magufuli.
..na vijana hawa walimfanya magufuli kuwa kama mungu mtu, katika macho yao magufuli alikuwa hakosei.
..nadhani ni wakati sasa watanzania kuwa na uongozi shirikishi. ni vema sote watanzania wote tukawa na thamani.
Nimekuelewa zaidi mkuuHuyu hata amtaje JPM mara mia kila siku, nakuhakikishia hawezi kushinda nafasi yoyote. Nani wa kuchagua mtu mjinga kiasi hicho? Mtu asiye na hikima kiasi hicho ndo tumchague kuwa kiongozi eti kwa sababu tu anaimba JPM usiku na mchana? Hivi ninyi huwa mnatuonaje, mnadhani sisi ni vilaza kiasi kwamba tunaweza kuchagua dubwana lolote tu na kulipa uongozi?
Mark my words: Chadema bila kuachana na uharo na shombo za hilojinga hawana bright future!
YapUnataka mshenzi Lissu aonekane ana thamani, hadhi yake ni kuenziwa na mashoga wake huko, akifa mwambieni achomwe moto tu, hatutaki kuona vichaa Tz.