Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu jumamosi tumepata maana halisi ya nguvu ya umma
Na hiyo nguvu ndio ushindi wetu
Nimebahatikaumepata bahati ya kumuaga?
Hivi, kuna siku pia huyo mtu naye atakufa!! au yeye hatakufa??Acheni kumfananisha Nabii Tundu Lissu na marehemu wenu...
Yuke yuko level za juu sn ni tumaini halisi la watz sio huyo tapeli na brainwasher wenu
Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa
Mh Tundu lissu, itamlazimu aombe Kura huku akirejea utendaji wa JPM na Jina la JPM kuombea Kura
Mwenye macho asikie na mwenye masikio aone
..naamini JF imeharibika baada ya kuvamiwa na vijana wa ccm ambao ni mashabiki wakubwa wa magufuli.
..na vijana hawa walimfanya magufuli kuwa kama mungu mtu, katika macho yao magufuli alikuwa hakosei.
..nadhani ni wakati sasa watanzania kuwa na uongozi shirikishi. ni vema sote watanzania wote tukawa na thamani.
Ila mawazo yake amekuzidi wewe tangu 1968 JFMember since 2021 March 18.
Hii ni Jamhuri ya kifirika ya JF uhuru wa kutapika upo kwa sana.Hadi muda huu nyie msiojitambua mnaonekana mmeshinda!. Subirini tumzike halafu tunaojielewa tuanze kufunguka, muone uchafu wa huyo jamaa yenu, mtayajua na yaliyofichwa
President Magufuli has redefine the responsibilities of the Presidency in Tanzania.Magufuli kwa sasa ndio SI Unit ya maendeleo na uongozi wenye kugusa maisha ya watu.
Chadema mnavyoendelea kujaribu kupambana nae ndio watu wanaendelea kuwapuuza.
Lowassa alishawai washauri achaneni na harakati fanyeni siasa za kistaarabu, mkamuona hamnazo. Haya endeleeni kupambana na Magufuli mtakiona cha moto.
Jamhuri fikirishi ya JF, pamoja na ndugu yake Twitter, kidole huitwa pua, kiuno huitwa mguu, mkono huitwa nywele.Uchaguzi wa October 2020 ambapo Magufuli alikuwa hai bado Tundu Lissu alishinda, tena kwa mbali. Sasa, sasa - 2025 utamshindanishaje Lissu dhidi ya mwendazake?
Sio rahisi tena kwa CDM kuchagua kibaraka kukiwakilisha chamaAmini usiamini ndivyo itakavyokuwa,
Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa.
Kwa kadri siku zinavyosonga na vizazi vingi kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la historia kujua historia za viongozi wao, wapo ambao ukuwatajia Jina la Hayati Mwl Nyerere unaweza ukajikuta unaulizwa kuwa ni Nani huyo na Yuko wapi?
Kwa sababu hiyo, kizazi cha sasa huwezi kukitenganisha na viongozi ambao kimekuwa kikiona kazi zao, na kikawaida yetu kama binadamu, tunaamini Kwa kuona, Kwa kazi ambazo zinaonekana ambazo zimefanywa Kwa awamu hii, zinawafanya Watanzania kuamini kuwa, kumbe inawezekana kukiwepo viongozi wachapa kazi, viongozi wasio na uhusiano na mafisadi, na ndiyo Maana nampongeza Hayati Dkt JPM kukazia somo la historia lirejeshwe mashuleni.
Nachotaka kusema hapa ni kwamba, 2025 nina uhakika kwamba, mwanasiasa yeyote awe wa upinzani na hata CCM, kama atataka kujizolea umarufu na hata kukubalika mapema kwa jamii, itamlazimu kurejea utendaji kazi wa Hayati JPM, hatakii!!! wananchi hawatamwelewa, Kwa sababu hiyo, Mh Tundu lissu, itamlazimu aombe Kura huku akirejea utendaji wa JPM na Jina la JPM kuombea Kura.
Kwa muda mfupi, Hayati Dkt JPM, karibu Kila mtu amejikuta akikubali kazi zake, Uongozi wake, uchapakazi wake na wengine wanaenda mbali kusema! Hakujawahi Kutokea kiongozi Bora kama huyu hapa Tanzania.
Mwenye macho asikie na mwenye masikio aone.
Marehemu amegeuka mwenge wa uhuru!Huyu mtu atasahaulika haraka sana kwasababu anapewa sifa za kulazimisha kwa kutumia nguvu ya media.
Mada za aina hii zingesubiri kwanza watu wazike, maana kuna mambo yakizungumzwa kwa muda huu mtasema watu hawaheshimu mwili wa mwenda zake.Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa,
Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa.
Kwa kadri siku zinavyosonga na vizazi vingi kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la historia kujua historia za viongozi wao, wapo ambao ukuwatajia Jina la Hayati Mwl Nyerere unaweza ukajikuta unaulizwa kuwa ni Nani huyo na Yuko wapi?
Kwa sababu hiyo, kizazi cha sasa huwezi kukitenganisha na viongozi ambao kimekuwa kikiona kazi zao, na kikawaida yetu kama binadamu, tunaamini Kwa kuona, Kwa kazi ambazo zinaonekana ambazo zimefanywa Kwa awamu hii, zinawafanya Watanzania kuamini kuwa, kumbe inawezekana kukiwepo viongozi wachapa kazi, viongozi wasio na uhusiano na mafisadi, na ndiyo Maana nampongeza Hayati Dkt JPM kukazia somo la historia lirejeshwe mashuleni.
Nachotaka kusema hapa ni kwamba, 2025 nina uhakika kwamba, mwanasiasa yeyote awe wa upinzani na hata CCM, kama atataka kujizolea umarufu na hata kukubalika mapema kwa jamii, itamlazimu kurejea utendaji kazi wa Hayati JPM, hatakii!!! wananchi hawatamwelewa, Kwa sababu hiyo, Mh Tundu lissu, itamlazimu aombe Kura huku akirejea utendaji wa JPM na Jina la JPM kuombea Kura.
Kwa muda mfupi, Hayati Dkt JPM, karibu Kila mtu amejikuta akikubali kazi zake, Uongozi wake, uchapakazi wake na wengine wanaenda mbali kusema! Hakujawahi Kutokea kiongozi Bora kama huyu hapa Tanzania.
Mwenye macho asikie na mwenye masikio aone.
Hayo mambo yenu ya matume sijui nini ndo mabeberu wanamopitia. Magufuli asingeweza kuwa 100% perfect ni binadamu lakini ameonyesha sisi kama inchi tunaweza kufanya mambo makubwa na kuibadili inchi kwa kipindi kifupi sana. China waliweza ndani ya miaka 30, Taiwan, Malaysia, Vietnam na nyingine nyingi tu. Huko walikopita hao ndo huko alikokuwa anapita chuma. Hayo mataifa yote niliyotaja hakuna hata moja lililopiga hatua kwa kuwa na mara tume huru, sijui katiba sijui haki ya kuona mafisadi wana neemeka na rasilimali za inchi kwa kisingizio cha kutumia sheria kandamizi zinazotungwa na wabunge walioingizwa na hao hao mafisadi bungeni.Tume HURU tu ndio itakayoamua
Mkuu unaweza kuwa sahihi lkn naongezea hapo, imeharibiwa na Vijana wa pande zote mbili kwa maana ya CCM na UPINZANI,kwa mfano huyu niliyemquote anaonekana ni mtu wa mlengo wa Upinzani,mwenzie katoa hoja,yeye badala ya kujibu anaanza kumletea dharau kisa ni New Member!
Tuna kazi sana kudeal na hawa Vijana kwa ujumla wake.
Kubana AjiraKwamba amtaje mtu aliyevuruga bei ya sukari
Bei ya mbaazi
Bei ya mafuta
Bei ya korosho
Sio mbaya hayo ni mawazo yako inabidi tuyaheshimu
Miaka hiyo unaitwa SLIM..sasa vijana wa ccm badala ya kumuombea DUA NZURI mwenyekiti wao aliyetutoka, ndio kwanza "wananoa mapanga" kuwashughulikia wapinzani.
..kwa kweli vijana wa ccm wanavyoenenda ni kana kwamba Jpm ameuwawa na wapinzani, wakati amekufa kwa ugonjwa aliokuwa nao tangu Tanzania haijaingia ktk mfumo wa vyama vingi.