Pre GE2025 2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukisikia mtu anajiita mnyonge mhesabu ni msukule. Mungu alimuumba kila mtu kiukamilifu, unahitaji kujishughulisha kidogo ili kufikia matarajio.

Kukubali kuitwa mnyonge huku ukitemgemea Makonda akunyanyue ni UPIMBI
Na.pe una uchungu na jpm na makonda!
 
Litakuwa jambo jema sana maana 2030 ndio Watanzania wamedhamilia kabisa kumpa Urais wa Taifa letu,.uchapa kazi wa Mheshimiwa Makonda umewakosha sana Watanzania ambapo sasa kila mtu anatamani apewe nafasi za juu kabisa serikalini.
 
"Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi."

- Robert Chalamila
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
 
"Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi."

- Robert Chalamila
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
VP hatakiwi kwa vyovyote vile kumpita kwa umaarufu bosi wake. Sasa huyu kupewa tu uenezi tayari kashamfunika mwenyekiti wake. Sasa akipewa huo u VP si itakuwa balaa kabisa kwa wateule wengine wa Rais!


Makonda ni lazima atatafuta miundombinu iliyo kuwa rafiki kwake ili naye apate udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa kada mwenzake na mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Mh. Dkt. Msukuma.


Safu ya Uongozi Taifa

Dkt. SSH - M/Kiti Taifa
Cmrd. AOK MM/ Taifa
Dkt. EJN - KM Taifa
Dkt. PCM - KI&U Taifa
 
Kabla ya kupewa hayo mamlaka, ahakikishe anatuambia kwanza Daudi Albert Bashite ni nani yake.
 
Kwa umri wake,yupo sana kwenye siasa za nchi hii.
 
"Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi."

- Robert Chalamila
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Hahahaaa
 
"Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi."

- Robert Chalamila
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Dah Nimecheka Sana 🤣🤣🤣
 
Makonda ni sawa na mziki wa singeli, unakelele lakini hausikilizwi na segment zote.. ni mtupu sana.
 
CCM ni Dola, Dola ni CCM, DOLA hii hii ndio inayoiweka CCM madarakani.

Kwa Alichokifanya Kwa miaka yake hii mitatu , kadhihirisha, alipewa umakamo si sababu anaweza, Bali sababu ya Uzanzibar, uanamke wake.

Kwakua ameshindwaaaaa kuendana na Dola.


2025, RAIS SIO SAMIA, NAYE ANAJUA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…