2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

Umesema kweli Hawa watu wanatoa makafara sana kwa shetani ndio mana inchi haiwezi kwenda mbele hata iweje, kinachonishangaza Mimi nikuona kwamba mtu anaifurahia hii timu uku akijua kwamba ni wezi, mafisadi, wauwaji, fitina kibao, sijui nao wamerogwa?
Uko sahihi mkuu,watu hao ni waovu sana,na ukiona mtu anaunga mkono timu Kikwete,ujue ni muovu kama wao.
 
Uko sahihi mkuu,watu hao ni waovu sana,na ukiona mtu anaunga mkono timu Kikwete,ujue ni muovu kama wao.
Mkuu uovu upi, weka bayana, toa mifano. Usijumlishe bila tangible evidence. Tetea hoja yako kwa facts watu watakuelewa.
 
Jk nae ni nothing maana Hana madaraka yoyote
Kutokuwa na madaraka haina maana kwamba hana influence.Infact nadhani kwa sasa ndiye anaye-iendesha nchi,ndio maana unaona mambo yanaendeshwa ki-luciferian luciferian tu.
 
Kutokuwa na madaraka haina maana kwamba hana influence.Infact nadhani kwa sasa ndiye anaye-iendesha nchi,ndio maana unaona mambo yanaendeshwa ki-luciferian luciferian tu.
Kwaiyo yeye ndo kampendekeza bashite?
 
Mambo ya Lissu hayamuumizi kichwa mtu ndani ya CCM 🤣.

Upinzani wa kweli upo ndani ya chama.
 
Mkuu umempaisha sana Kikwete,Kikwete sio intelligent as you have put it,anatumika tu kama karai la zege na NWO kutekeleza malengo yao maovu Tanzania.Infact Kikwete is the worst President we have never had.
 
Kwaiyo yeye ndo kampendekeza bashite?

Mkuu umempaisha sana Kikwete,Kikwete sio sio intelligent as you you have put it,anatumika tu Kama karai la zege na NWO kutekeleza malengo yao maovu Tanzania.He is the worst president we have never heard.
Mkuu kama alionekana anafaa kutumika kati watanzania milioni 62 na hilo lidude kutoka huko majuu.

Don't you think he is somewhat intelligent??? !

Nina amanini hao watu hawawezi kwa akili ya kawaida kutumia mtu boya!
 
Mkuu uovu upi, weka bayana, toa mifano. Usijumlishe bila tangible evidence. Tetea hoja yako kwa facts watu watakuelewa.
Sina haja ya mengi,ufisadi.Hakuna watendaji ambao waliwahi kutuhumiwa kwa kiwango kikubwa cha ufisadi kama wa awamu ya Kikwete,and I believe that is undeniable.Bila kusahau forgery ya vyeti,utendaji wa hovyo serikalini nk.nk.
 


"mzalendo uchwara"
 
Kwamba anayetuzimia umeme yupo hapa ametumwa na power za nje hili jambo halikubaliki ni afadhali MAGU mara mia.
 
Mbumbumbu dk Bashiru,Pole pole,Kalemani, ndiyo mbumbumbu unao wajua wewe,kunyimwa cheo serikalini ndiyo MAGU akawa dikteta?
Endeleeni kufanya hiki kinachoendelea ili mwisho uje haraka.
 
Pamoja na uwongo wake wote alioutumia kuwahadaa watu lakini haya yafuatayo yanatosha kumbeba kila siku :- 1- umeme ulikuwa haukatiki kama sasa 2- ilikuwa nidhamu ipo juu katika kila ofisi ya Umma , 3- vitu havikupanda bei kama ilivyo kwa sasa !
4- karibu kila mkoa na kila wilaya alama zake zimebaki mpaka sasa na ndio maana watu wanaendelea kumkumbuka sana na wataendelea kumkumbuka kwa muda mrefu sana !

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni !!
Ni watu wachache humu kwenye media ndio wanamsema vibaya lakini nenda kwa Ground mitaani mijini na vijijini jaribu kufanya utafiti uone JPM bado ni nani kwa wananchi walio wengi katika Nchi hii !!
JPM alikubalika almost Africa nzima isipokuwa hakupendwa na mafisadi na mabeberu !! Na hiyo inafahamika ni kwanini !!
 
Mambo ya Lissu hayamuumizi kichwa mtu ndani ya CCM 🤣.

Upinzani wa kweli upo ndani ya chama.
Na soon huenda kikaumana !!
Upinzani wa kweli kabisa kabisa utatoka ndani ya Ccm yenyewe na ndipo vyama au Chama kimojawapo kitakaposhikwa mkono na kuinuliwa juu ili utabiri wa Mwalimu utimie !!
2015 ilikuwa ni almanusura utabiri utimie !!
Ngoja tuone !!
 
Nchimbi ni Team Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…