2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Kumpigia kura huyu mama labda kwenye ndoto. Nipo tayari hata kutoa uhai wangu lakini siwezi kumpa kura yangu huyu mama.
Wataka apigiwe kura mara ngapi.Na alishapigiwa kura,na amekuwa Rais.Wananchi mamilioni waliopo Tanzania,kura yako moja,haisaidii kitu.
 
Tatizo wapinzani hawashikamani, watu tunatamani hiyo siku tupigie kula kimvuli kuliko huyo mama yenu.
 
Huna ushahidi wowote wa hayo unayosema,zaidi ya kuja na kauli za jumla amabo ni ugonjwa wa watu wengi sana
 
Samia akiendelea kutafuta pesa na kuzitumia kwa wananchi kama anavyofanya sasa hiyo 2025 atapeta kama anamsukuma mlevi.

Kuna siasa halisi za huko kwa wapiga kura na zile za humu jukwaani. Hizo ni siasa za aina mbilii tofauti.
Wapiga kura wapi, au sisi,sio wapiga kura
 
Acha uongo. Watanzania wako vizuri sana.

Unadhani Jpm kukodi vikosi vya kubeba mabox ya kura alikuwa mjinga?

Alijua kwa uhuru na usawa hachomoki.
Bora umwambie uyo chawa
 
Habari za tume huru ni kuhamisha magoli. Samia ana mdomo mzuri na anajua kushawishi huko nje. Hiyo ni silaha ambayo hata hayati JPM hakuwa nayo. Naongelea convincing power kama silaha ya kuongozea nchi.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]eti Samia anashawishi
 
CCM hawawezi ruhusu uchaguzi huru na wa haki. Hi hata haitakaa itokee.
 
Not easy hawa watu wanakalika Sana , ndo maana CCM kila siku ni kuwafunga, teka, ua, piga risasi, wape kesi za uongo n.k
 
Ngombe
 
Inafahamika kwa wengine katiba mpya itawaondolea ugali mezani
Huu ndio ukweli wenyewe. Wale wanaosema haileti ugali mezani wanategemea hii mbovu ndio inawapa ugali. Ikiondoka hii mbovu wanajua ile mpya itawatoa nje ya mstari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…