26 Oktoba 2024, Usiku Wa Kutisha na Usiosahaulika Kwa Marubani Wa Jeshi La Israel

26 Oktoba 2024, Usiku Wa Kutisha na Usiosahaulika Kwa Marubani Wa Jeshi La Israel

Ishu ni kuwa mwafrika angekuwa anatumia nusu ya muda wake kufikiria maisha yake tungekuwa mbali. Mimi katika kukaa na jamii mbali mbali ni muafrika tu amebaki hana muelekeo. Muda mwingi kufikiria ya watu. Na kulaumu na kulalamika. Waarabu wenyewe walioizunguka Israel washakubali waishi na Israel ili maisha yaende. Tumebaki sisi vilaza. Kuzungumzia kama vile maisha yetu tumeyaweza sana.
Ni kweli mkuu. HUSUSAN wa Bongo. Nimeishi Tehrani miaka sita kabla ya kuhamia Beirut, ndg zangu watanzania wanavyoelezea Israel, Lebanon,Iran,Iraq, Jordan n.k mpaka sisi tulioko huku tunashangaa. Kuna Mambo wanayadumaza mno na mengine kuyakuza zaidi ya mara mia ya ukweli.
 
Yaan sisi waafrika ni kondoo flan wasiojitambua. Hawatakuelewa kaka. Wamekuwa vipofu kabisa. Mzungu au mwarabu amekuletea dini sawa lakin sisi ndio tuna hatima ya kizazi chetu. Kugeuka mashabiki wakati muda unaenda na wajomba wanaendelea ni kukubali sisi ni vilaza
 
Kwa hiyo shambulizi la Israel lilifeli ?...haya bhana
Ndio lilifeli ndo maana inatumika nguvu kubwa kuwaaminisha watu kuwa shambulizi la Israel lilileta madhara lakini hawatupi ushahidi juu ya hilo.
Mpaka waziri mkuu wa zamani wa Israel Rapid akasema kuwa shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilikuwa ni aibu kwa uwezo wa jeshi la Israel.

Mwezi wa 12 mwaka jana mkuu wa jeshi la uingereza alikuwa anahojiwa juu ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran akawa anasema eti Israel iliharibu uwezo wa Iran kutengeneza makombora mwandishi alipo muomba ushahidi juu ya hilo akabaki anajikanyaga.

Dunia ya sasa sio ya mwaka 47 ,sote tulishudia shambulizi la Iran likipiga kambi za anga la Israel kupititia kwenye video zilizo rekodiwa na waisrael wenyewe, lakini mpaka sasa hakuna video hata moja ya bahati mbaya inayo onesha shambulizi la Israel likipiga target bali video zilizoko zinaobesha makombora yao yakitunguliwa.
 
Ni kweli mkuu. HUSUSAN wa Bongo. Nimeishi Tehrani miaka sita kabla ya kuhamia Beirut, ndg zangu watanzania wanavyoelezea Israel, Lebanon,Iran,Iraq, Jordan n.k mpaka sisi tulioko huku tunashangaa. Kuna Mambo wanayadumaza mno na mengine kuyakuza zaidi ya mara mia ya ukweli.
Kama yapi?
 
Ndio lilifeli ndo maana inatumika nguvu kubwa kuwaaminisha watu kuwa shambulizi la Israel lilileta madhara lakini hawatupi ushahidi juu ya hilo.
Mpaka waziri mkuu wa zamani wa Israel Rapid akasema kuwa shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilikuwa ni aibu kwa uwezo wa jeshi la Israel.

Mwezi wa 12 mwaka jana mkuu wa jeshi la uingereza alikuwa anahojiwa juu ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran akawa anasema eti Israel iliharibu uwezo wa Iran kutengeneza makombora mwandishi alipo muomba ushahidi juu ya hilo akabaki anajikanyaga.

Dunia ya sasa sio ya mwaka 47 ,sote tulishudia shambulizi la Iran likipiga kambi za anga la Israel kupititia kwenye video zilizo rekodiwa na waisrael wenyewe, lakini mpaka sasa hakuna video hata moja ya bahati mbaya inayo onesha shambulizi la Israel likipiga target bali video zilizoko zinaobesha makombora yao yakitunguliwa.
Mimi Naona UNABWABWAJA sana bila kuwa ushahidi na ushahidi unaoutoa ni wa maneno ya kujifariji “Eti waziri Mkuu wa zamani wa Israel Rapid kwa taarifa yako haijawahi kutokea waziri Mkuu Israel anaitwa RAPID wala hatatokea hii inanionyesha wazi jinsi ulivyo muongo tu ge kuwa wote Mazwazwa humu hapo ulikuwa umetuokota kabisa. Umeongelea habari za mwezi wa 12 Mkuu wa majeshi wa uingereza wapi na wapi na shambulio la Israel nchini Iran? Umeongelea sana eti video ZiŁ Izo pigwa na waisrael wenyewe hivyo unataka kutuaminisha hivyo ili uongo wako upite bila kupigwa? Acha ujinga usitufanye wote humu ni MAZUZU kama wewe.
Iran mpaka leo hii kushindwa kuendelea na THE PROMISE-3 Sababu mifumo yake ya ulinzi iliharibiwa na Shambulizi la Israel maana angerogwa akajibu nchi ilikuwa uchi wa mnyama hakuna mifumo ya ulinzi wa anga basi angewasaidia Majeshi ya Israel yajipigie popote yanapotaka bila upinzani wowote ule.
 
Kitendo tu cha Iran kushindwa kujibu mapigo ya Israel mpaka leo kinatosha kuonesha kwamba kashindwa...tuache maneno mingi!.
Angekuwa kidume kweli angeshajibu, maana israel ilimuonya mapema ukithubutu tena utajuta...hadi leo kimyaa!!.
Ww ndo huna chochote unacho kijua kuhusu masuala ya kijeshi , kitendo cha Iran kutojishughulisha kujibu ni inshara tosha kuwa shambulizi la Israel halikuwa na madhara makubwa na ndio maana viongozi wa Iran hawakuoneka kupanic.
Kama waziri mkuu wa zamani wa Israel aliliponda na kuliita kuwa ni la aibu ww mrokole wa bongo ni nani?

Hata kwenye hili shambulizi la awamu ya pili lililo fanywa na Iran walichukua zaidi ya miezi 3 bila kujibu mkaja na ngonjera kama hizi .
Nyinyi wachamba wima wa namanga ndo mnaichukilia poa Iran lakini Israel na Marekani wenyewe wanaujua uwezo harisi wa Iran na ndio maana Israel haikuthubutu kushambulia vinu vya nukilia na mafuta vya Iran pamoja na kujitapa kwa miaka mingi kuwa ataviharibu kwa sababu walijua wakifanya hivyo wataichochea Iran kutoa majibu makili sana ambayo hawatayahimili.
 
Ishu ni kuwa mwafrika angekuwa anatumia nusu ya muda wake kufikiria maisha yake tungekuwa mbali. Mimi katika kukaa na jamii mbali mbali ni muafrika tu amebaki hana muelekeo. Muda mwingi kufikiria ya watu. Na kulaumu na kulalamika. Waarabu wenyewe walioizunguka Israel washakubali waishi na Israel ili maisha yaende. Tumebaki sisi vilaza. Kuzungumzia kama vile maisha yetu tumeyaweza sana.
Ww unaye tumia muda wako kujadili mambo ya maana ni tajiri mamba ngapi ndani ya Tz? Au umewaajili watanzani wenzio wangapi?
Basi nenda kwambie viongozi wa jf waliomdoe jukwaa la kimataifa.
 
Mimi Naona UNABWABWAJA sana bila kuwa ushahidi na ushahidi unaoutoa ni wa maneno ya kujifariji “Eti waziri Mkuu wa zamani wa Israel Rapid kwa taarifa yako haijawahi kutokea waziri Mkuu Israel anaitwa RAPID wala hatatokea hii inanionyesha wazi jinsi ulivyo muongo tu ge kuwa wote Mazwazwa humu hapo ulikuwa umetuokota kabisa. Umeongelea habari za mwezi wa 12 Mkuu wa majeshi wa uingereza wapi na wapi na shambulio la Israel nchini Iran? Umeongelea sana eti video ZiŁ Izo pigwa na waisrael wenyewe hivyo unataka kutuaminisha hivyo ili uongo wako upite bila kupigwa? Acha ujinga usitufanye wote humu ni MAZUZU kama wewe.
Iran mpaka leo hii kushindwa kuendelea na THE PROMISE-3 Sababu mifumo yake ya ulinzi iliharibiwa na Shambulizi la Israel maana angerogwa akajibu nchi ilikuwa uchi wa mnyama hakuna mifumo ya ulinzi wa anga basi angewasaidia Majeshi ya Israel yajipigie popote yanapotaka bila upinzani wowote ule.
Ww una utindio wa ubungo siwezi kupoteza muda kuongea na ww .
Sasa mtu ambaye hujui kuwa Yair Lapid alisha wahi kuwa waziri mkuu wa Israel ambaye aliupokea kutoka kwa
Nafutar Benert na akaiongoza Israel
Mpaka kwenye uchaguzi ulio mrudisha
Netanyau madarakani nitabishana na ww kuhusu nini?
 
Nimekuambia hakuna waziri Mkuu anaitwa Rapid na siyo Nafutar Bernert ni Naftali Bennett Najua hata Mimi wewe si saizi yangu huwezi kunidanganya kwa hiyo endelea kuwadanganya wajinga wenzako.
 
“Inasemekana” blah blah.....
 
Hii ni siku ambayo jeshi la Israel waliamua kwenda kufanya mashambulizi ya anga nchini Iran kama kulipiza kisasi baada ya mashambulizi yaliyofuatana ambayo Iran iliita 'true promise one' na 'true promise two'.

Naomba nisielezee sana huko, story itakuwa ndefu, ningependa niende kwenye mada moja kwa moja.
Baada ya dunia kushuhudia mvua ya maroketi na drones kutoka Tehran yakitua Tel-Aviv, ndipo kila mmoja hakuamini kwamba Iran iliwezaje kushambulia nchi inayosadikika ina ulinzi wa anga wa hali ya juu.

Lakini sote tulishuhudia vyuma vikishuka kama mvua kupiga kambi za jeshi la Israel.

Oct 1 2024 Iran ilirusha zaidi ya makombora 200, yakisafiri umbali takribani 2000 KM, na ikilenga vituo muhimu vya kijeshi na ujasusi vya Israel.

Baada ya shambulizi hilo tarehe 26 Oct 2024, takribani wiki kadhaa baadae, Israel ikamua kwenda kujibu kwa kutuma ndege vita zaidi ya 100. kuishambulia Iran na iwe onyo.

Tukio lile 26 Oct siku ya kwanza kila mmoja , mitandaoni kote ilionekana mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ikizuia makombora Tehran.
Baadhi yalipiga target mengi yalizuiliwa, sasa nataka nikueleze ni kwa sababu ipi mashambulizi ya Israel hayakuleta madhara kama ambavyo wengi walikusudia ama kutarajia kama mashambulizi ya Iran nchini Israel,

Nakuelezea ni kwa sababu zipi mifumo ya anga ya Iran ilionekana kuzuia kwa ufanisi makombora ya Israel.

Inasemekana shambulizi la Iran nchini Israel April, true promise one, Iran ilipotuma drones na missiles inasemekana zile drones kuna ambazo zilikusanya taarifa nyingi sana kuhusu air defense systems za Israel, hizi drones zilishirikiana au zilikuwa zikituma taarifa kwenye ndege ya kirusi iliyokuwa inazunguka anga la Syria aina ya ll-20M, walitengeneza database na kufahamu sehemu nyingi za muhimu nchini Israel, walifahamu wapi kuna radar wapi kuna AD batteries n.k

Frederick2.jpg

ll 20M ni ndege inayotumika kukusanya taarifa za kijasusi, ikiwemo ufuatiliaji wa mawimbi ya redio na rada, na kutoa target sahihi kwa mifumo ya makombora.

sasa inasemekana vile vi drone vilipokuwa vinatamba kwenye anga la Israel mwezi april kama true promise one, Iran ikijibu shambulizi la Israel dhidi ya balozi yake iliyoshambuliwa Damascus, kumbe vilikuwa vinatuma taarifa zote kwenye hii ndege ll-20M.

Zile drones zilipoingia anga la Israel, radar za IDF ziliwaka, AD systems zikawa active, ndipo ikawa ni kama zimejionyesha zilipo, mawimbi n.k

Shambulizi la April kama true promise one , ndilo lilifanikisha zaidi true promise 2 ya oct 1, ikafanikiwa kwa sababu inasemekana shambulizi la kwanza lengo kuu lilikuwa kukusanya taarifa huku wakizitoa sadaka zile drones.

Kuna kitu hapa nataka niseme, shambulizi la Israel la october 26, Israel na US pia sio wajinga, walikusanya taarifa za Russia na Iran, ndio maana Iran imechelewa kujibu true promise 3. Hapa utagundua waajemi hawa jamaa wana akili si kawaida.

Ni mchezo wa paka na panya, Iran inafahamu taarifa zake nyingi zimegundulika hivyo wanabadili mifumo na mipango. sio kama Israel walivyo kurupuka. Humu naona wengi wanabishana pasipo kujua mchezo mzima unaondelea na ujasusi nyuma yake.

Niende kwenye mada.
Radar inavyofanya kazi huwa inatuma mawimbi kwenda kwenye ndege, yale mawimbi yanadunda na kurudi kwenye radar, hapo radar inafahamu fika ni umbali kiasi gani na hiko chombo kina ukubwa upi, na kinatembea kwa speed ipi.. na uelekeo upi hata altitude.

Naomba nielezee kwa kifupi sana.. hapa nikisema niandike kila jambo inaweza kuwa kitabu cha novel.

ipo hivi, katika lile shambulizi la oct 26 kulikuwa na F-35 za kutosha, katika ndege vita kuna hiki kitu kinaitwa RWR(Radar Warning Receiver, hii inatoa taarifa kama kuna hatari n.k) kuna kifaa kinaitwa ESMS, F-35 kama ndege vita zingine, inaweza kusanya aina ya mawimbi yote katika eneo husika na kulinganisha mawimbi hayo kutoka kwenye database na hii ndio kazi ya ESMS.

Hivyo F-35 ikipita Tanzania inaweza ku sense mawimbi ya radar na ikagundua ni radar ipi, model ipi na ipo wapi au umbali upi, kuna database inakuwepo ya ku match.

Hivyo pale kwa rubani kwenye kioo(RWR) anaona radar mbali mbali na ndege kwa mionekano na mawimbi na namba tofauti tokana na radar yenyewe au ndege ya adui.
images

huu ni mfano wa RWR kwenye ndege vita... wao wanajua kusoma hizo alama ...

Sasa inakuwaje ndege vita ikatambua hii ni s-300, hii ni mig-29 hata kwa umbali zaidi pilot hajaona? kuna database ipo, hii database ilishalishwa data za mawimbi ya s-300 yapo vipi, mig-29 mawimbi yake yapo vipi, boeing 737 mawimbi yake ipo vipi... hivyo ni database.

Hivyo kilichotokea April, Iran ilinyonya database za kutosha ikitumia drones zake ndani ya Israel ikishirikiana na Russia baada ya hapo wakalala mbele.

F-35 inapokutana na mawimbi isiyo yaelewa au hayapo kwenye database yake, inatuma taarifa nyumbani, huko kuna database kubwa zaidi, hivyo inalishwa database mpya au kuwa updated lakini inachukua muda.

Hivyo ndege za Israel zilipokuwa zinapita anga la jordan walifahamu fika hii ni radar ya jordan s-band, walipofika Syria walifahamu hii ni radars za Syria VHF n.k

F-35 imezungukwa na radar kuanzia mbele, pembeni, nyuma, kushoto, juu chini yaani kote ina sensors..
Hivyo kipindi tuseme F-35 inapita anga la Syria, kwa sababu radar inazunguka huku na kule, F-35 kwenye RWR rubani anaona mawimbi yanavyokuja na kupotea yakipita kulia kuelekea kushoto, au mbele kwenda nyuma, ni kama search lights... ina maana radar inatafuta targets.. kama ujuavyo radars huwa zinazunguka.
Halafu taratibu kwa sababu ndege inakwenda unaanza kuona mawimbi yanakosa nguvu hadi kupotea.

Hapo rubani wa F-35 anajihisi ujasiri na salama, yupo kwenye ndege stealth, ina umbo stealth kwa ajili ya kukwepa radar, ndege imefunikwa na materials yanayonyonya mionzi/mawimbi ya radar, hivyo anaona mambo ni safi anafahamu hii ni radar ya kirusi ipo Syria, hii ni Jordan n.k

Sasa kipindi rubani anaendelea na safari ghafla rubani anashangaa kuna mawimbi makali yenye nguvu sana kwenye RWR, haya mawimbi hayaendi kushoto wala kulia, nyuma au mbele, yapo pale pale, mawimbi yana target kama laser ndege inavyokwenda na yenyewe yanafuata...

Hiki ndicho marubani wa Israel walikutana nacho kibaya zaidi inasemekana walikuwa anga la Iraq, inasemekana mawimbi haya ya radar yalikuwa yanafuatilia kila F-35 iliyokuwepo, yaani yanajigawa, yaani radar zilikuwa zime lock target tayari.

Tayari walikuwa hatarini, kibaya zaidi inasemekana aina ya mawimbi yaliyokuwa yakiwamulika hawakuona kwenye database, ESMS ikaamua ku contact na uongozi chini, na huko wakakosa majibu pia kwamba hayo ni mawimbi ya aina gani, na inaonekana threat inatokea Iran na wao wapo anga la Iraq mamia ya kilomita kabla ya target.

S-300 na S-400 zipo tayari kwenye database za F-35 lakini hii radar waliyoiona haijulikani ni ya aina gani na inatumia silaha za aina gani (interceptors).

Inasemekana kulikuwa na mvutano mkali, marubani ikabidi waachie makombora sehemu ambayo ilikuwa si sahihi kwa jinsi mission ilivyopangwa ili kujinusuru, yaani uambiwe ukifika Dodoma achia kombora, we unakwenda kuachia Morogoro...

Hivyo pilots wali abort mission chap, na kurudi anga la Israel mapema kabla ya walivyo panga.

Hii ilionyesha uwezo mkubwa wa Iran katika ulinzi wa anga, na hii ilikuwa kwa mara ya kwanza F-35 Adir kuwa locked na mifumo ya anga ya Iran/Russia.

MAsuala ya kudanganyana eti air defense za Iran zilipigwa zote anga ikabaki wazi ni kujidanganya, F-35 inasemekana ina database za S-300 na S-400.
Hivyo kuna uwezekano mkubwa ile radar ilikuwa ni bavar 373 au kama ni s-400 basi imeboreshwa na hao waajemi au pengine mfumo usiojulikana.

Bavar 373 zipo zaidi ya 12, na sasa wana bavar 373 ll, kumbuka hizi bavar 373 ni domestic s-300 zilizoboreshwa zaidi wanatengeneza Iran wenyewe na ndizo inasemekana kwa asilimia kubwa siku hio zili lock target za stealth za F-35 Adir jets... sio poa.

Na hilo shambulizi la Israel la oct 26 Iran walichukulia kuna uwezekano ndege za Israel zilituma missiles baadhi kwa ajii ya ku spy na kuchota data, kama wao walichofanya april na kuja kutumia hizo data Oct 1, ndio maana true promise 3 haijafanyika....

Lakini kuna jamaa wananyweshana kahawa humu kwamba Iran ilipunguziwa uwezo wa kutengeneza makombora tokana na mashambulizi ndio maana hawajibu.

Iran ina mji wa makombora upo chini ya ardhi, ni kakijiji kamesheheni missiles, wana viwanda chini kwa chini.

Hivyo hiko ndicho kiliwatokea IDF Oct 26 2024.
Kuna watu watapita kimya kimya, hawapendi kusikia habari kama hizi za taifa teule kushindwa
 
Ww unaye tumia muda wako kujadili mambo ya maana ni tajiri mamba ngapi ndani ya Tz? Au umewaajili watanzani wenzio wangapi?
Basi nenda kwambie viongozi wa jf waliomdoe jukwaa la kimataifa.
Najua ndio hulka yetu wala sikulaumu. Ndio kilichopo kwenye ubongo wetu
 
IRAN ni wazee Technologia Mzungu alikuwa anaiba uko IRAN maujanja wanatuletea uku wakijisifu wao!!!!

Sasa wametaitiwa ndio tunajua kumbe mwenye akili ni Muiran.. kipigo kile kimewashangaza kila mtu.. nakumbuka Walokole walikimbia jukwaaa..
 
Back
Top Bottom