2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

Si kweli mkuu, labda uniambie documentary ya maisha yake ni fake...

Brookline boy raised by single parent.

They grew together with Sean comb.....
 
Kwani mtu kuwa raised na single parent ndio kuishi kimaskini ?

Kumbuka alikuwa anasomeshwa shule private huyo.
Mkuu nakuelewa, ila sio kwamba life was easy hata mpaka leo maisha ya middle class sio maisha ya maana sana....

Kumbuka mama yake mjamaica alikuwa nurse tu.. kwahiyo sio kwamba katoka kwenye life poa kiiiiiivooo.

That's why he work his a#$ for it.
 
Vipi wakale kutoka staten Island?? Rza, Method man, Inspector, Power wa Wu-Wear nk .
Nawaheshim sana hawa mabro harakati zao hadi leo wako hapo walipo
 
Bigi aliingia mtaani kuuza madawa kwasababu ni yeye mwenyewe alipenda kuwa muhuni na ndio maana hata muziki alipenda kuimba uhuni, hata shuleni alipofika high school ni yeye mwenyewe alimwambia mama yake ahame private kwenda public lengo aende kukutana na wahuni wengi, sio kwamba mama yake alishindwa kumlipia.

Biggie hakulelewa maisha ya kitajiri ila sio haba aliishi maisha walau ya kati, huwezi kumfananisha na tupac alieishi hood mitaa iliyojaa uhalifu, kuuana na maisha ya kimasikini
 
Hakuna rapper wa kumlinganisha n.a. Biggie duniani...
Nilisikiliza interview ya the late cow Obama miaka hiyo, aliulizwa PAC na BIGGIE unamkubali nani.... Akasema BIGGIE. Nikaona hebu ngoja niingie chimbo niwajue hawa jamaa!

Katika kuwafatilia nyimbo zao, life styles zao plus ku-hang ki harakati..... Binafsi yangu nikahitimisha kwa kusema PAC alikuwa kifaa sana! Yaani yule muhuni alikuwa habari nyingine kabisa!
 
Latter to my unborn child!.
 
Watu wengi sana Hawaijui Hip hop vizuri na pia MZIKI mzuri hawaujui.

Wengi hazijui nyimbo za 2pac na wengi ni wafata mkumbo.

Huwezi mfananishq 2PAC na msanii yoyote yule wa HIP HOP. NI Mpumbavu pekee atakayethubutu kuwaza hilo.
 
Binafsi naona wote wako sawa, mmoja aliamua kuutukuza ufalme na umafia wa mtaa mwingine aliimba kuelimisha jamii na kuitaka jamaa kuondokana na dhana ya maisha ya umafia wa mtaa.
 
Vipi wakale kutoka staten Island?? Rza, Method man, Inspector, Power wa Wu-Wear nk .
Nawaheshim sana hawa mabro harakati zao hadi leo wako hapo walipo
Wu-tang Clan wameiheshimisha sana mitaa ya park hill hapo staten island, legacy yao itaishi.
 
Two families with different tastes!You call ideologies!
 
Watu wengi sana Hawaijui Hip hop vizuri na pia MZIKI mzuri hawaujui.

Wengi hazijui nyimbo za 2pac na wengi ni wafata mkumbo.

Huwezi mfananishq 2PAC na msanii yoyote yule wa HIP HOP. NI Mpumbavu pekee atakayethubutu kuwaza hilo.
Huu ni upumbavu mwingine. Pac and biggie have been cited as as the greatest rappers of all time it means yupi ni bora kuliko mwenzake is arguably sasa kusema pac hawezi fananishwa na mwengine ni 'ujuha' mkubwa unless uwe hujui chochote kuhusu biggie.

Hawa ndio wasanii wawili pekee waliogawa mashabiki kwenye hip hop history ya USA, so no matter una mahaba kiasi gani kwa pac au westside but never disrespect biggie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…