Hii ngoma ni Kali ila inakuzwa sanaHit Em Up
Pac Kawa inspire rappers wengi wakali kina drake, Kendrick, YG, meek mill n. K, lakini hawa trapper hawawezi elewa ndio maana Dogfather uncle snoopy anawakanyagiahahah nimekumbuka kuna video flani snoopy anawapopoa sana madogo pembeni yake 50 hana mbavu. Imagine kuna madogo nowdays wanadiss 90s hip hop, i wonder.
Sahihi ndo maana kwenye video alimpa shout out mwamba kwa ku show pic yake03 Bonnie and Clyde ni replica ya 96 me and my girlfriend ya boss playa Pac
Hawaelewi.. mie si mtu wa zaman sana .. ila nyimbo zangu nyingi ni old school.. hunidanganyi kitu huko.Sema old is GOLD wazee hivi hawa madogo wa gen z na hizi bubble gum rap (trap) zao mnawaelewa kweli wakuu sky soldier , Gentlemen_ Mudimkushi
Best rap diss track everHii ngoma ni Kali ila inakuzwa sana
Nakubali mwanangu we kweli unafatilia music03 Bonnie and Clyde ni replica ya 96 me and my girlfriend ya boss playa Pac
Uko sahihi,wengi ni watoto wa jana.Watu wengi sana Hawaijui Hip hop vizuri na pia MZIKI mzuri hawaujui.
Wengi hazijui nyimbo za 2pac na wengi ni wafata mkumbo.
Huwezi mfananishq 2PAC na msanii yoyote yule wa HIP HOP. NI Mpumbavu pekee atakayethubutu kuwaza hilo.
He tried. But he said it wasn't his forte.Point of correction
At some point Pac was slingin cocaine too.
HapanaMzizi mkuu wa hiphop ni kuelimisha jamii....
Braggin (kujisifu) ni vitu extra tu kama ilivyo kucheza
Hahah kuna makuzi itakuwa umepitia ya mabroo.Hawaelewi.. mie si mtu wa zaman sana .. ila nyimbo zangu nyingi ni old school.. hunidanganyi kitu huko.
Mfn nw naskiliza : Remmy Ongala : MZIKI ASILI YAKE WAPI.
Tuongeze au hii inatosha?Biggie atabakia kuwa bora
braza nakuelewa2pac wazazi wake walikuwa wanaharakati lakini alilelewa na mama yake pekee ambae nae alianza kutumia madawa ikamlazimu 2pac kukuzwa na mitaa
Biggie huyo huwezi kumuita hata street boy, alilelewa vizuri tu ila ni yeye mwenyewe alitaka kuuza madawa si kwasababu hakuwa na hela ila kwasababu ni yeye alitaka.
Pia big kasoma mpaka high school msije mkadhani aliacha kusoma akiwa na mjaka 10 kama alivyodanganya kwenye sky is the limit, kasomeshwa private ila ni yeye mwenyewe alipofika high school alimuomba mama yake asome shule public, huko ndiko alihamasika zaidi kuuza madawa.
Kuhaso kwa kuuza madawa kumewaweka wamarekani weusi kibao nyuma ya nondo, Big kusifia kuhaso kwa kuuza madawa haikuwa sawa.
HahahahhaBitches bring lies
Niqqas knows kila kichwa na mantiki yake, hujiulizi ni kwanini pac na big walikuwepo wengi,Huu ni upumbavu mwingine. Pac and biggie have been cited as as the greatest rappers of all time it means yupi ni bora kuliko mwenzake is arguably sasa kusema pac hawezi fananishwa na mwengine ni 'ujuha' mkubwa unless uwe hujui chochote kuhusu biggie.
Hawa ndio wasanii wawili pekee waliogawa mashabiki kwenye hip hop history ya USA, so no matter una mahaba kiasi gani kwa pac au westside but never disrespect biggie.
Hit em up unaiweka namba 5!!!Best rap diss track ever
1. Ice cube - no Vaseline
2.Nas - Ether
5. Pac&outlawz- Hit em up