2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

Biggie's uh gives you goosebumps before he even spits a bar. To this day.

Crack baggin, sick of braggin how my mink be dragging, desert Es street sweepers inside the beamer wagon, I rely on bed-stuy to shut it down when I die, put that on my diamond bezel...
 
hahah nimekumbuka kuna video flani snoopy anawapopoa sana madogo pembeni yake 50 hana mbavu. Imagine kuna madogo nowdays wanadiss 90s hip hop, i wonder.
Pac Kawa inspire rappers wengi wakali kina drake, Kendrick, YG, meek mill n. K, lakini hawa trapper hawawezi elewa ndio maana Dogfather uncle snoopy anawakanyagia
 
Mzizi mkuu wa hiphop ni kuelimisha jamii....

Braggin (kujisifu) ni vitu extra tu kama ilivyo kucheza
Hapana
Hiyo kuelimisha jamii waliileta west coast
Ila hip hop ya bronx ilipoanzia haikua na hilo lengo na haikua na matusi

Westcoast wakina easy e, ice cube na godfather wao dr dre ndo waliofanya hip hop ionekane ya kiharakati at the same time uonekane mziki wa kihuni
 
Hawaelewi.. mie si mtu wa zaman sana .. ila nyimbo zangu nyingi ni old school.. hunidanganyi kitu huko.

Mfn nw naskiliza : Remmy Ongala : MZIKI ASILI YAKE WAPI.
Hahah kuna makuzi itakuwa umepitia ya mabroo.

Sasa unashindwaje kuelewa jumbe kutoka kwa pac, nas, biggie, alafu unawaelewa kelele za kina lil nani sijui, inashangaza kwa kweli.

But anyways kila zama na mambo yake.
 
Kuna Movie moja ina reflect kiasi uhalisia wa Maisha ya Black Americans you can call it Black Mafia, aloo yaani kama hood za Watu weusi Marekani zipo vile [emoji23], my dear never dance with those Fella’s
 
Biggie atabakia kuwa bora
Tuongeze au hii inatosha?
gettyimages-51387932-612x612.jpg
 
2pac wazazi wake walikuwa wanaharakati lakini alilelewa na mama yake pekee ambae nae alianza kutumia madawa ikamlazimu 2pac kukuzwa na mitaa

Biggie huyo huwezi kumuita hata street boy, alilelewa vizuri tu ila ni yeye mwenyewe alitaka kuuza madawa si kwasababu hakuwa na hela ila kwasababu ni yeye alitaka.

Pia big kasoma mpaka high school msije mkadhani aliacha kusoma akiwa na mjaka 10 kama alivyodanganya kwenye sky is the limit, kasomeshwa private ila ni yeye mwenyewe alipofika high school alimuomba mama yake asome shule public, huko ndiko alihamasika zaidi kuuza madawa.

Kuhaso kwa kuuza madawa kumewaweka wamarekani weusi kibao nyuma ya nondo, Big kusifia kuhaso kwa kuuza madawa haikuwa sawa.
braza nakuelewa
 
Huu ni upumbavu mwingine. Pac and biggie have been cited as as the greatest rappers of all time it means yupi ni bora kuliko mwenzake is arguably sasa kusema pac hawezi fananishwa na mwengine ni 'ujuha' mkubwa unless uwe hujui chochote kuhusu biggie.

Hawa ndio wasanii wawili pekee waliogawa mashabiki kwenye hip hop history ya USA, so no matter una mahaba kiasi gani kwa pac au westside but never disrespect biggie.
Niqqas knows kila kichwa na mantiki yake, hujiulizi ni kwanini pac na big walikuwepo wengi,
sema sipendi kuwapambanisha hawa mabraza kila mmoja ana mchango wake, kivyake
 
Back
Top Bottom