🤔Mimi sina vyote hapo zaidi ya watoto ila sijiulizi maswali ya kiwaki kama hayo ,naishi tu ma wala sina stress
Mno mkuu ,furaha ipo ndaninya ubongo wako ni vile unaamua tu kuitumia
Wala sipo jioni bwashee , hata mda wa kulewa ni mtazamo tu😅Muache huyo sasa hivi jioni unakuta yuko "HIGH" 🤣
Nilitaka akoment hata sijawaza hivyo pengine jamaa yuko financial fit, Ila humu anatuzuga tuu kiaina kuokota mawazo ya watuMuache huyo sasa hivi jioni unakuta yuko "HIGH" 🤣
Very TrueMbona sijajenga?
Mbona sijapata kipato cha uhakika?
Mbona sina gari?
Mbona sitengenezi faida ya uhakika?
Mbona sijaoa/sijaolewa?
Mbona sina mtoto?
Mbona sina akiba?
Mbona nachelewa?
Mbona classmates wana nipita?
Mbona sii-provide familia vya kutosha?
Watu wa hivyo wasio jiamini jinsi walivyo ni wa hovyo mnoMbona sina hiki
Mbona sina kile
Kivyovyote vile huyo mtu ni mbinafsi hata marafiki hawezi kuwa nao
Hata akiwa na biashara kutoboa ni kipengere
Naelewa mkuu, kikubwa ni kuwa na amani kwanza vingine vinakuja tuuMno mkuu ,furaha ipo ndaninya ubongo wako ni vile unaamua tu kuitumia
No reform no peaceNaelewa mkuu, kikubwa ni kuwa na amani kwanza vingine vinakuja tuu