30s: Wakati ambao akili inakuwa ya moto sana

30s: Wakati ambao akili inakuwa ya moto sana

From 27 years to 37 Miaka ya kupambana kweli kweli miaka itayokupa Majibu ya Mtihani wako wa Maisha Either umefeli au umefaulu. Usitegemee kutoboa after 40 years. Inaitwa Fainali
 
Nadhani ni umri ambao tunaweza sema ni Point of Diminishing Return ambapo pressure ya maisha inakuwa kubwa sana ..na hii ni pale unapoanza kujifanyia comparison na wengine. Hakika lazima kichwa kipate moto na kujikataa , halafu tena ukijumlisha na pressure kutoka kwa ndugu,jamaa na wale wote wanaokuzunguka utatamani hata ku commit suicide
 
From 27 years to 37 Miaka ya kupambana kweli kweli miaka itayokupa Majibu ya Mtihani wako wa Maisha Either umefeli au umefaulu. Usitegemee kutoboa after 40 years. Inaitwa Fainali
Dah kwamba 37 tu wakwetu?
 
Back
Top Bottom