30s: Wakati ambao akili inakuwa ya moto sana

Mimi sina vyote hapo zaidi ya watoto ila sijiulizi maswali ya kiwaki kama hayo ,naishi tu na wala sina stress
images-7.jpeg
 
Mimi sina vyote hapo zaidi ya watoto ila sijiulizi maswali ya kiwaki kama hayo ,naishi tu na wala sina stress
Ukiwa huna hivyo vyote na hujiulizi hayo maswali ya kiwaki. Bhasi unakuwa na shida kubwa sana kichwani

Ukifika hiyo point kwanza hakuna wa kukulazimisha uchanganyikiwe. Ile reality tu kuwa 20's yako yote hujafanya chochote cha msingi na hata mtoto huna. Sio kitoto

Mbaya zaidi ujikute kwenye entry level jobs au fursa za watu wanaoanza maisha kiasi unajikuta ndio mkubwa kwenye interviews zote unazoenda, inakuonesha tu wewe ni failure,

ikitokea shida home haupigiwi kwa sababu huna msaada maana si ajabu wewe ukawa ndio mfano wanaokanyiwa ndugu zako, "si mnamuona fulani, nyie chezeeni maisha"..

Na hayo ni machache ndio maana nakuambia usipojiuliza hayo maswali utakuwa na shida kubwa sana kichwani.
 
Sawa machoni pa watu mimi ni luza ila machoni kwangu mimi ni shujaa wa kutisha
 
Mbona sijajenga?

Mbona sijapata kipato cha uhakika?

Mbona sina gari?

Mbona sitengenezi faida ya uhakika?

Mbona sijaoa/sijaolewa?

Mbona sina mtoto?

Mbona sina akiba?

Mbona nachelewa?

Mbona classmates wana nipita?

Mbona sii-provide familia vya kutosha?
Nipo mwanzoni mwa 20’s tu lakini akili inawaka moto😅🔥
Mwenyezi Mungu nijaalie nipate kazi.
 
Kwahiyo maisha kwako ni
Kuoa/kuolewa
Kuzaa
Kujenga
Kuingiza kipato
Kununua Gari

Ikiwa haya ndo mafanikio kwako upo ili iweje .

Life has a purpose nigga you need to go beyond that shit

Umri ukienda na upo hai ni blessing you don't need to regret about anything in this temporary world
 
Kwahiyo maisha kwako ni
Kuoa/kuolewa
Kuzaa
Kujenga
Kuingiza kipato
Kununua Gari

Ikiwa haya ndo mafanikio kwako upo ili iweje .

Life has a purpose nigga you need to go beyond that shit
Wabongo wengi maisha kwao ni kusoma then kupata kazi then kuoa au kuolewa then kujenga nyumba baada ya hapo kumiliki gari. Hapo wanaona wamefanikiwa wengi wao hawajui kusudi la wao kuwepo duniani.
 
Back
Top Bottom