30s: Wakati ambao akili inakuwa ya moto sana

eph

Sawa machoni pa watu mimi ni luza ila machoni kwangu mimi ni shujaa wa kutisha

Kujiamini sio kujizima mbali na uhalisia

Ni kuuona na kuukubali

Lakini haimaanishi ujishushe au kujidharau kwa sababu vitu huweza kubadilika lakini pia huwezi kuubadilisha uhalisia kwa kujiumiza zaidi. Kuwa content na ulichonacho huku ukipigania kupata unavyovitamani nadhani ni sahihi pia

Mwisho wa siku tusisahau kuishi tukiishia 🙏🏽
 
Sure bro
 
Back
Top Bottom