Unalewa kama mimi tuMh kaka kesho mei mosi na usisahau natamani kuwa mtumishi bora wa mkoa wangu ,unafikiri naweza kufanya kazi bila kunywa ?
Itakuwa ni vichekesho maana mikono inakuwa inatetemeka kama jenereta la mjerumani hivyo niko tungi kaka na bado niko nalijenga taifa hapa
Acha hizo humu kila Mtu mkuu mimi sio baba yako bwasheeNakuelewa mshua
Kiuhalisia Miaka 40 ni umri wa kucheza na wajukuu huku ukisubiria kutafuna pension either NSSF au PSSSF hata pilikapilika za ujana unakuwa umeshaanza kuzipa mkono wa kwaheri.Sio kweli kama unajitunza miaka 40 ni kidogo mno kama utajali afya akili tu
Mnajizima data mno kwa sababu mpo nchi ya kusadikika ,huo umri ni mdogo mno bwasheeKiuhalisia Miaka 40 ni umri wa kucheza na wajukuu huku ukisubiria kutafuna pension either NSSF au PSSSF hata pilikapilika za ujana unakuwa umeshaanza kuzipa mkono wa kwaheri.
Daah sasa baba angu kaingia vipi kukuita mshua ? Ok mkuuAcha hizo humu kila Mtu mkuu mimi sio baba yako bwashee
Tulia ufike 30 acha kiherehere mkuuDuuh navurugwa hata 30 sijafka akili inawaka moto mno.... Mungu nisaidie 🙏
Wala sijizimi data mkuu wangu. Labda kila binadamu na hulka zake ila kwangu 40 ni jua la jioni hilo. Anyway Nakukubali sana mkuu hapa Jf kama nimekukwaza niwie radhi mkuuMnajizuma data mno kwa sababu mpo nchi ya kusadikika
Hahahaha daah ngoja nitulie tuu sasa maake mnanikandia sanaTulia ufike 30 acha kiherehere mkuu
Sijui lini unikwaza mkuu ila ninachoongea ni kwel na hakika, mipaka ya Tz imeweka tu na wakoloni kwa nini ukubali kufeli kwenye hii mipaka.Wala sijizimi data mkuu wangu. Labda kila binadamu na hulka zake ila kwangu 40 ni jua la jioni hilo. Anyway Nakukubali sana mkuu hapa Jf kama nimekukwaza niwie radhi mkuu
Mimi kama wewe an. Cna ata wazoMimi sina vyote hapo zaidi ya watoto ila sijiulizi maswali ya kiwaki kama hayo ,naishi tu na wala sina stress
Kabisa wajinga hasa wa kidini unakosaje pesa ? Nitakucheka mno siku mojaMimi kama wewe an. Cna ata wazo
Sawa mkuuSijui lini unikwaza mkuu ila ninachoongea ni kwel na hakika, mipaka ya Tz imeweka tu na wakoloni kwa nini ukubali kufeli kwenye hii mipaka.
Sure bro japo mda mwingine natamia tu ila najua kwa akili yako unaweza kuona ukwel 🤔Sawa mkuu
Hili ni tatizo ambalo huwa sijui kwa nini halinipitii mimi 🤔 kila siku nawahimiza watu wafanye meditation humu waniona kama kiazi fulani hivi🤔Kuhisi muda umepita sana au unazeeka haraka
Kutafakari sana juu ya maisha ya zamani..
Kuwaza sana juu ya kifo au uzee
Kutamani kubadili kazi, kuachana na ndoa, au kuanza maisha mapya....
Ni kipindi ambacho mtu huanza kujihoji kuhusu maisha yake, mafanikio yake, malengo yake, na mwelekeo wa maisha kwa ujumla(midlife crisis).