50 cents ataja kuwa ndie mwanaume mchoyo sana kwa wanawake zake. Why wanaume wenye pesa wagumu kuhonga ?

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
2,230
Reaction score
8,337
-1493108430.jpg

Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana.

#Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa Lilikkuwa Ni Wigi Ambalo Mara Baada Ya Kuachana Nae #50Cent Aliomba Arudishiwe Wig Lake.

#Jamira alieleza kwamba hakuwahi kumwomba pesa wakati wote wa uhusiano wao. Lakini mara moja tu alipofanya hivyo—alipomwomba $10,000 [Mil. 26+] —jibu la 50 Cent lilimshangaza👇

"Jamira, wewe ni mwanamke mwenye nguvu na huru. Huna haja ya mwanaume kulipia bili zako. Hii hapa ni $50," (Laki 130). 50 Cent Alimwambia Hivyo

Akiwa ameumizwa na kukatishwa tamaa, Jamira aliamua kuhitimisha uhusiano wao. Anadai kwamba maneno ya mwisho ya 50 Cent yalikuwa:

"Nimekuwa nikisubiri kulisema hilo kwa muda mrefu. Tafadhali acha wigi mezani kabla hujaondoka."

Alimalizia kwa kusema, "Ninajuta sana kumpenda. Kumpenda 50 Cent ndiyo kosa kubwa zaidi maishani mwangu. Ni mtu ambaye ni mkali sana kuhusu pesa."

Imeaandikwa Na @am_zizzouh

#WeUnlock

View attachment 3389216

Pesa na mapenzi wapi na wapi? Umasikini umefanya watu wageuze miili yao kuwa vitegauchumi. Tafuta pesa yako ili ufanye mapenzi kama sitarehe na sio biashara .
 
Back
Top Bottom