cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]50 cent na mahela yake tu hachezei, nyie wakopaji wa songesha kujifanya mnahudumia na hizo songesha ndo maana mnasumbua humu na thread kila siku......

Pata hela nyingi ndio utaelewa
Maisha ni kuchagua
Mie mwenyewe mwanamke hagusi hata cent yangu..kuna viumbe vimechagua ubahili
Moyo unao, je na pesa unazo?Dah!Fifite sendi ni hatari sana.Jamira aje nimgee limoyo langu.
Kadri unavyozidi kuwa na hela ndio kadri umuhimu wa kuhonga wanawake unavyopungua.Ukiwa na hela ndio ubahili unazidi?
Amini hilo, yaani Unaweza kumuona mtu ana makampuni na hela za kutosha ila ana mama yake anataabikaUkiwa na hela ndio ubahili unazidi?
A real legendView attachment 3389216
Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana.
#Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa Lilikkuwa Ni Wigi Ambalo Mara Baada Ya Kuachana Nae #50Cent Aliomba Arudishiwe Wig Lake.
#Jamira alieleza kwamba hakuwahi kumwomba pesa wakati wote wa uhusiano wao. Lakini mara moja tu alipofanya hivyo—alipomwomba $10,000 [Mil. 26+] —jibu la 50 Cent lilimshangaza👇
"Jamira, wewe ni mwanamke mwenye nguvu na huru. Huna haja ya mwanaume kulipia bili zako. Hii hapa ni $50," (Laki 130). 50 Cent Alimwambia Hivyo
Akiwa ameumizwa na kukatishwa tamaa, Jamira aliamua kuhitimisha uhusiano wao. Anadai kwamba maneno ya mwisho ya 50 Cent yalikuwa:
"Nimekuwa nikisubiri kulisema hilo kwa muda mrefu. Tafadhali acha wigi mezani kabla hujaondoka."
Alimalizia kwa kusema, "Ninajuta sana kumpenda. Kumpenda 50 Cent ndiyo kosa kubwa zaidi maishani mwangu. Ni mtu ambaye ni mkali sana kuhusu pesa."
Imeaandikwa Na @am_zizzouh
#WeUnlock
Atajioa mwenyewe. Vijana tunasema No Reforms No marriage.Kuna yule mpuuzi anakwambia
Ukimtakaaa uwe na helaaaaa.
Pesa ni ngumu sana asee😂View attachment 3389216
Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana.
#Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa Lilikkuwa Ni Wigi Ambalo Mara Baada Ya Kuachana Nae #50Cent Aliomba Arudishiwe Wig Lake.
#Jamira alieleza kwamba hakuwahi kumwomba pesa wakati wote wa uhusiano wao. Lakini mara moja tu alipofanya hivyo—alipomwomba $10,000 [Mil. 26+] —jibu la 50 Cent lilimshangaza👇
"Jamira, wewe ni mwanamke mwenye nguvu na huru. Huna haja ya mwanaume kulipia bili zako. Hii hapa ni $50," (Laki 130). 50 Cent Alimwambia Hivyo
Akiwa ameumizwa na kukatishwa tamaa, Jamira aliamua kuhitimisha uhusiano wao. Anadai kwamba maneno ya mwisho ya 50 Cent yalikuwa:
"Nimekuwa nikisubiri kulisema hilo kwa muda mrefu. Tafadhali acha wigi mezani kabla hujaondoka."
Alimalizia kwa kusema, "Ninajuta sana kumpenda. Kumpenda 50 Cent ndiyo kosa kubwa zaidi maishani mwangu. Ni mtu ambaye ni mkali sana kuhusu pesa."
Imeaandikwa Na @am_zizzouh
#WeUnlock
Na mimi pia usinisahau Jamira 50 alikupa 50dollar vipi angekupa 50cent si ungepasuka? Na hapo kashakumanua vibaya sanaNi mtu ambaye ni mkali sana kuhusu pesa.
Seems wengi hamkumuelewa kwenye ule wimbo wake wa P.I.M.P.View attachment 3389216
Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana.
#Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa Lilikkuwa Ni Wigi Ambalo Mara Baada Ya Kuachana Nae #50Cent Aliomba Arudishiwe Wig Lake.
#Jamira alieleza kwamba hakuwahi kumwomba pesa wakati wote wa uhusiano wao. Lakini mara moja tu alipofanya hivyo—alipomwomba $10,000 [Mil. 26+] —jibu la 50 Cent lilimshangaza👇
"Jamira, wewe ni mwanamke mwenye nguvu na huru. Huna haja ya mwanaume kulipia bili zako. Hii hapa ni $50," (Laki 130). 50 Cent Alimwambia Hivyo
Akiwa ameumizwa na kukatishwa tamaa, Jamira aliamua kuhitimisha uhusiano wao. Anadai kwamba maneno ya mwisho ya 50 Cent yalikuwa:
"Nimekuwa nikisubiri kulisema hilo kwa muda mrefu. Tafadhali acha wigi mezani kabla hujaondoka."
Alimalizia kwa kusema, "Ninajuta sana kumpenda. Kumpenda 50 Cent ndiyo kosa kubwa zaidi maishani mwangu. Ni mtu ambaye ni mkali sana kuhusu pesa."
Imeaandikwa Na @am_zizzouh
#WeUnlock
Una point mkuu, nimecheka sana.Kadri unavyozidi kuwa na hela ndio kadri umuhimu wa kuhonga wanawake unavyopungua.
Ukiwa na hela wanawake wanakuja wenyewe, wengine wanakusumbua kwenye simu, mitaani, mitandaoni nk. Sasa we utahonga ili nini wakati una access na mbususu zisizo na idadi.
Tunaohonga ni sisi hohehahe ambao tuna ka demu kamoja kama roho tunaogopa kakitupiga chini tutaenda wapi?
Amini hilo, yaani Unaweza kumuona mtu ana makampuni na hela za kutosha ila ana mama yake anataabika
Au yeye mwenyewe huwezi kumuona anakula vizuri
Acha wanaojionyesha kwa kuvaa saa ghali kuliko Ferrari.
Ukimuomba msaada anaweza akaapa na Mungu kabisa kuwa hana
Ukizishika hela nyingi sana nakuambia
Zaidi ya kuongeza hutaki zipungue kabisa
Zikifika 100m unataka ziwe x2 na utaendelea hivyo mpaka unakufa ila huadhiriki kimaisha 😂😜
Ni kweli kabisa tena hata wakiugua hawataki kwenda kujitibu vizuri labda ziwe za kuiba.Ukizishika hela nyingi sana nakuambia